Haya maisha bwana, sasa tunywe nini kama soda zinazeesha?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1634706166260.png
 
Tangu nigundue Le Mutuz anakaribia 70, na bado anakuwa na totoz, hivi sasa nimeacha kabisa kuhofia kuzeeka hata kama haters mtasema Le Mutuz ni Mshika Pembe tu yule !!
 
Nilikuwa mlevi wa soda (pepsi), badala ya kuhisi kiu ya maji mie nilikuwa nikihisi kiu ya soda.
Ila huu mtihani nimeufuzu, nina miezi 6 sijagusa soda nimeacha kabisa....Kuku wasio wa kienyeji na mayai yake
 
Hapo kwenye soda ndo changamoto niliyonayo, tena hiyo hiyo pepsi, kila siku lazima ni push pepsi big 1 ya baridi sana ndio roho yangu inasuuzika.

Nisipofanya hivo naskia kiu kabisa labda ninywe maji mengii ya baridi ndio kiu ya soda kidogo inaweza pungua, hii ndio wazungu wanasema "killing you soft", ulitumia njia gani kuacha?
 
Hapo kwenye soda ndo changamoto niliyonayo, tena hiyo hiyo pepsi, kila siku lazima ni push pepsi big 1 ya baridi sana ndio roho yangu inasuuzika, nisipofanya hivo naskia kiu kabisa labda ninywe maji mengii ya baridi ndio kiu ya soda kidogo inaweza pungua, hii ndio wazungu wanasema "killing you soft", ulitumia njia gani kuacha?

Niliamua na kusimamia maamuzi yangu, kila kitu ukiamua inawezekana..Kiufupi nimekuwa muumini mkubwa wa vyakula visivyo na mambo mengi.
 
Tangu nigundue Le Mutuz anakaribia 70, na bado anakuwa na totoz, hivi sasa nimeacha kabisa kuhofia kuzeeka hata kama haters mtasema Le Mutuz ni Mshika Pembe tu yule !!
Kwani Billionaire Mengi aliyemuoa miss Tanzania alikuwa kijana?

Hela, hela, hela, hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom