Katika maisha yetu vikwazo vyetu ni watu wanaotujua

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali.

Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo.

Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua.

Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila siku au kuona wewe ukifikia jambo fulani.

Kuna msemo wangu napenda kueleza pale mtu kalalamika kwa nini anapata vikwazo.

“Ukiona hutaki vikwazo kaishi porini na wanyama kwa sababu vikwazo hakuna huko”
 
Nabii hakubaliki kwao, wakati wa Eliya kulikuwa na wajane wengi katika Israel lakini Eliya alikwenda kwa mjane wa Sidoni.
 
Mkuu ni heri wangekuonea wivu wa kawaida tu, ila hao washenzi huenda mbali hadi kukufanyia ushirikina, na huwezi shtuka sababu unawaamini.

Ni kweli wanaofanyia watu ushirikina ni watu wao wakaribu sanna huwezi amini wanakuja watu anakwambia nataka nimfunge asifanimiwe huyu namuuliza sababu anakwambia anajidai namla hela yake namwambia tayari sababu ni mjinga siwezi kumfanyia mtu kitu kibaya ambae hana hatia
 
Mkuu maisha huwa nafananisha na mchezo wa mpira (football) kwanza ili mchezo unoge unahitaji team pinzani, mkiwa uwanjani huwa kuna mabeki wakukukaba usishinde kirahi, hebu jaribu kufikiria kama mpira ungekuwa unachezwa na team moja peke yake.

Unaingia uwanjani hakuna wachezaji wenzio wala gorini hakuna gori kipa wala mabeki hamna wewe nikupiga mpira gorini a kufunga Unazani mpira ungekuwa unaradha? Ndivyo hivyo maisha yalivyo, Tunahitaji changamoto ili ziwe chachu ya mafanikio, Tunahitaji maadui ili tuweze kufika mbali zaidi. Na haya yote ndo huleta ladha ya maisha.
 
Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali.

Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo.

Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua.

Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila siku au kuona wewe ukifikia jambo fulani.

Kuna msemo wangu napenda kueleza pale mtu kalalamika kwa nini anapata vikwazo.

“Ukiona hutaki vikwazo kaishi porini na wanyama kwa sababu vikwazo hakuna huko”
Adui yako ni mtu wa karibu yako, anaekujua. Mtu wa mbali hawezi kukuangamiza, maana haujui unafanya nini nk
 
Ni asilimia kubwa ya waafrika ndo wenye roho za kutu,inatokea issue haezi mpa anaemjua atatafuta mtu wa mbali huko ampe.Maofisini nako ivyoivyo kwenye familia ndo lalalalaaah...sijui shidah iko wapi?
 
Mkuu maisha huwa nafananisha na mchezo wa mpira (football) kwanza ili mchezo unoge unahitaji team pinzani, mkiwa uwanjani huwa kuna mabeki wakukukaba usishinde kirahi, hebu jaribu kufikiria kama mpira ungekuwa unachezwa na team moja peke yake.

Unaingia uwanjani hakuna wachezaji wenzio wala gorini hakuna gori kipa wala mabeki hamna wewe nikupiga mpira gorini a kufunga Unazani mpira ungekuwa unaradha? Ndivyo hivyo maisha yalivyo, Tunahitaji changamoto ili ziwe chachu ya mafanikio, Tunahitaji maadui ili tuweze kufika mbali zaidi. Na haya yote ndo huleta ladha ya maisha.
Mfano wako ni mzuri sana.
Kama katika mashindano hayo yangekuwa na kitu "kutokuoneana wivu wa nia mbaya" .
Uharibikiwe, ufe, ufungwe, nk
 
Mfano wako ni mzuri sana.
Kama katika mashindano hayo yangekuwa na kitu "kutokuoneana wivu wa nia mbaya" .
Uharibikiwe, ufe, ufungwe, nk
hivyo vyote ulivyovitaja ndio chachu yenyewe ,mfano unapoona watu wanataka uwanguke basi utajikaza ili usianguke Unapoona watu wanataka usifanikiwe basi utakazana ili ufanikiwe ,
Haya yote binafsi nimepitia na Al hamdillah yamenijenga sana badala ya kunibomoa ,naamini nisingefika hapa nilipo sama na hao madui ,hila zao vitimbi vyao ,uchawi wao na kunikwamisha kwao ,kumenipa nguvu ya kupambana kuhakikisha sishindwi kwakua najua wazi ndicho wanachokitaka ,
Binafsi nikijua nna adui na nikajua adui yangu kipi anachotaka ,basi nahakikisha simpi anachotaka ,mfano wakinifunga. nisifanikiwe basi ntapambana kwa kila namna kuhakikisha nafanikiwa ,
Kuna wakati watu wanakufunga usifikie malengo ulojiwekea ,basi nikishaona ugumu nakazana kuomba mungu na kujitahidi katika yale kumi nilojiwekea malengo basi nihakikishe hata moja nalitekeleza hata kwa ugumu kiasi gani ,ILI WAO WAJIONE KILA WANALOFANYA HALIWI ,hii inasaidia kuwachosha
 
Ni asilimia kubwa ya waafrika ndo wenye roho za kutu,inatokea issue haezi mpa anaemjua atatafuta mtu wa mbali huko ampe.Maofisini nako ivyoivyo kwenye familia ndo lalalalaaah...sijui shidah iko wapi?
Unampa fursa mtu unayemfahamu halafu mwisho wa siku anakuwa anaku Snitch ili uharibikiwe hapo kazini.
 
Back
Top Bottom