maisha

  1. JamiiForums Tanzania Unaujua mtego wa wauaji wa ndoto zako katika maisha?

    Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao. Umepata wazo la...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  3. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mpenzi wa maisha

    Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:- Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu' Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu' Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugulile: Tozo za Daraja la Kigamboni zipunguzwe kurahisisha maisha

    Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine “Nakuomba sana Rais twende...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kutumia madawa vizuri na ushauri vimenisaidia kuishi maisha ya kawaida licha ya kuambukizwa HIV

    Na Ronald Mutie Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV. Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha...
  6. JamiiForums Tanzania Kibali cha Maisha

    KIBALI CHA MAISHA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maandiko haya ni bure wala isijesemwa yalitolewa ili nijipatie faida ya Fedha au faida yoyote Ile. Yalipatikana Bure nami nitayatoa bure, ili kila asomaye ayapate Kwa gharama Sawa na bure hata Kama isipokuwa bure kabisa. Nayo yawe busara Kwa walio...
  7. JamiiForums Tanzania Fanya Mambo Haya Mawili Kuongeza Miaka 20 Kwenye Maisha Yako

    Rafiki yangu mpendwa, Vipi kama leo nitakuambia kuna mambo mawili unayoweza kufanya kila siku na ukaongezea miaka 20 kwenye maisha yako? Yaani kama ilikuwa uishi miaka 60, basi kwa kufanya kitu hicho utaweza kuishi miaka 80. Na kama ilikuwa uishi miaka 80 basi utaishi miaka zaidi ya 100. Na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  9. JamiiForums Tanzania Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  11. JamiiForums Tanzania Wakati unatafuta maisha usisahau kuishi

    WAKATI UNATAFUTA MAISHA USISAHAU KUISHI Endelea kupambana lakini usisahau yakua unapaswa kuayaishi maisha yako maana siku zikiisha kuhesabika na hazito rudi nyuma Kadiri ya mda na siku zinavyo endelea kusogea basi na wewe unapunguza muda wako wa kuwapo hapa duniani hili ni suala ambalo liko...
  12. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ya ndoa

    Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal. Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili...
  13. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

    Habari wakuu Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili. Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

    Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
  15. JamiiForums Tanzania Taratibu za kipagani katika mfumo wetu wa maisha 1 ( majira ya mwaka)

    MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI Naam Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar. Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya South Africa daaah!!

    Unajua maisha haya bongo watu wengi wameshachoka sana tu ila amekosekana HERO wa kulianzisha tu ili watu wamalize kila kitu,na siku akitokea tu huyo mtu,yaan acha kabisaaa.... Talking about a hero,inanipeleka moja kwa moja kwenye tukio moja hivi one day pande za hillbrow Nakatiza kwenye boda...
  17. JamiiForums Tanzania Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

    Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru. Twende kwenye maada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…