maisha

  1. E

    SoC01 Badili mtazamo wako juu yako na utaona mabadiliko kwenye maisha yako

    Waelewe watu usiwahukumu watu Binadamu hufanya maamuzi kwa hisia alizonazo kwa wakati huo Akiongea maneno mazuri au mabaya anafanya hivyo kwa sababu ya hisia zake kwa wakati huo sio kwa sababu yako Hisia zake zikibadilika na matendo yake hubadilika Kila kitu huanza kwenye fikra na ikiwa mtu...
  2. SoC01 Kama tutayapuuza mazingira yetu, tutayaharibu maisha yetu

    Watu waliostaarabika kimaadili na mienendo huhifadhi mazingira yao kwa kutambua kuwa kufanya hivyo ndio kuhifadhi maisha yao. maana sahihi ya neno mazingira, ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu pale anapoishi. Mazingira hujumuisha mazingira ya nchi kavu, mazingira ya angani na mazingira ya...
  3. Sababu kuu ya umaskini ujanani

    “COMFORT ZONE” sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana. “Anga/wigo/dunia ya mridhiko” (Kama sijakosea). kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone” kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
  4. Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  5. SoC01 Afya njema ni nguzo ya Kwanza ya Mitaji ya Mafanikio Katika Maisha

    1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na maisha mazuri kwa ujumla, na wengine kwenda mbali zaidi na kupata jeuri ya kujiona wanaweza hata...
  6. SoC01 Maisha baada ya kuhitimu Chuo Kikuu

    Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story challenge yangu inayohusu Maisha baada ya kuhitimu Chuo kikuu. Vijana wengi baada ya kuhitimu vyuo vikuu...
  7. Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  8. Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  9. Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
  10. Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea

    Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
  11. Urafiki katika maisha yetu

    Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi...
  12. Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

    Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA. Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili...
  13. N

    Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  14. Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  15. Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    Wakati fulani nikisoma shule ya Sekondari, baba alikuja kunitembelea shuleni, nikashangaa kwa nini amekuja kwa miguu na ana mavumbi mengi miguuni? Akanikabidhi TZS 12,000/= yani 10,000/= ya kulipia hostel na 2,000/= ya matumizi. Nikamuuliza mbona leo huna baiskeli? (mara zote alikuwa akiendesha...
  16. L

    China inaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja

    Hivi karibuni Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji cha Tanzania (NIT) Prof Zacharia Mganilwa, alisema mabadiliko yanayoendelea kutokana na upanuzi wa chuo hicho yatainua hadhi na ubora wa chuo hicho na kuwa chuo kikuu cha kisasa. Mabadiliko yanayoendelea kwenye upanuzi wa chuo hicho, ni sehemu ya...
  17. Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

    Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri. Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
  18. K

    Majigambo ya Serikali hii yameongeza gharama za maisha

    Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi...
  19. Zaidi ya watu 130 wapoteza maisha kutokana na joto kali Canada

    Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
  20. Nataka kwenda kufanya biashara Mbeya, ushauri wenu tafadhali

    Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini. Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…