cleverr
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 138
- 137
Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini.
Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari......
NB;
-Nina ideas kidogo za kilimo
-Biashara asa products za kike
Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari......
NB;
-Nina ideas kidogo za kilimo
-Biashara asa products za kike
- Elimu( bachelor in social protection)
- Spendi kuishi dar es laam na sijawai waza
- Mtaji upo tayari 1.2M.