maisha

  1. Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  2. Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  3. Kitabu cha maisha ya mwanadamu

    Utangulizi Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:- Kuzaliwa Kuishi Kufa Sura 1: Kuzaliwa Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke. Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa. Na tukio hili hutokea mara moja Sura 2: Kuishi...
  4. Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  5. Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

    25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
  6. Maisha hayana proper formula lakini vipo vya kuzingatia

    CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
  7. R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
  8. Dunia inaogopesha ila wewe Usiogope, Maisha sio mashindano

    DUNIA INAOGOPESHA ILA WEWE USIOGOPE 02! MAISHA SIO MASHINDANO Anaandika Robert Heriel, Umekata tamaa, hauna tumaini, mambo yote yameenda Kombo, kila ulichokuwa unakitumainia kimekusaliti, kila uliyekuwa unamuamini amekugeukia, dunia imekupiga kikumbo, hakuna yeyote aliye Kwa ajili yako...
  9. Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  10. Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  11. Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  12. Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  13. L

    Mdundo wa juu wa "Dawazi" waboresha maisha ya usiku ya raia

    Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
  14. P

    Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  15. Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

    Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga. Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
  16. L

    Dunia ikiwa inaadhimisha Siku ya Wakimbizi, ni kweli maisha ya wakimbizi yameboreshwa?

    Pili Mwinyi Kila ifikapo Juni 20, dunia inaungana kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilizindua rasmi siku hii mwaka 2000, na tangu wakati huo, jamii ya kimataifa inatumia siku hii kuangalia njia za kuboresha maisha ya wakimbizi. Wengi wetu tunajua kwamba...
  17. Maisha ni safari ndefu, Lemutuz na GSM na urafiki wao wa zaidi ya miaka 40

    Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile. Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina...
  18. Mungu ni muandaaji na muongozaji bora wa filamu za maisha yetu

    Leo 12:15hrs 19/06/2022 Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
  19. Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  20. D

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…