maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  2. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mawazo, Stori na historia ya maisha yangu

    Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
  6. mutu murefu

    JamiiForums Tanzania SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Habari za leo wakuu. Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu. Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
  7. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  8. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu cha Khamis ''Theoretician'' Abdulla Ameir '' Maisha Yangu''

    Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kimezinduliwa leo asubuhi. Hapo chini ni sehemu ya kwanza ya pitio la kitabu hicho: PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’ SEHEMU YA KWANZA Kitabu chochote cha...
  12. double click

    JamiiForums Tanzania Stori ya kweli ya maisha yangu, pitia unaweza kujifunza kitu

    Natumaini mko salama katika ujenzi wa taifa hii ni story ya kweli kuhusu maisha yangu nimeamua leo kuisema ila kuna ambavyo mnaweza kujifunza. Nilipomaliza chuo(nilisoma kilimo) niliamua kwenda wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro katika utafutaji nilienda huko kulima mazao haya ya bustani hasa...
  13. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya Kiislamu ninayoishi nchini China

    Pili Mwinyi Waislamu kote duniani bado wanaendelea kutekeleza nguzo ya nne ya Usilamu yaani kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hivyo leo tena napenda kuendelea kuzungumzia nguzo hii, na vilevile kuwafahamisha watu waliopo nje ya China, jinsi mimi na waislamu wenzangu wa hapa China tunavyoishi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye rafiki na kipenzi cha maisha yangu

    Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu. Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu. Asante
  16. N

    JamiiForums Tanzania Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
  17. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  18. Theb

    JamiiForums Tanzania Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

    “Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa" "Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa...
Back
Top Bottom