maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha... Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu kwenye simulizi ile, basi mtayapata kwenye hii ya sasa. Na mengine ambayo hamtoyapata humu, pengine...
  2. Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

    Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere. Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore...
  3. Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  4. F

    Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

    Maisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa. Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja...
  5. Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia. Mara ya kwanza kuishi wilaya ya Bunda niliishi mtaa mmoja uitwao Nyamakokoto kutokana na ugumu wa maisha kazi...
  6. M

    Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

    Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ? Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone. Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
  7. Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  8. B

    Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

    Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu. Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
  9. G

    Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  10. Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...
  11. S

    Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  12. Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  13. S

    SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  14. Mawazo, Stori na historia ya maisha yangu

    Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
  15. N

    SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
  16. SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Habari za leo wakuu. Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu. Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
  17. Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  18. SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  19. Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  20. Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…