Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine.
Hao wanaotushauri...
Mambo vipi ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya maisha yangu nilivyoanza kunywa pombe
Kunywa pombe nilianza 2016 nikiwa chuo kikuu na nilianza tu kwa...
Angalizo Mhimu⚠️.
Uzi huu si kwa kila mtu. Ni kwa vijana waliokomaa kiakili, walio tayari kupambana na nafsi zao, kushinda tamaa, na kutaka kuzijenga upya roho zao. Kama hujafikia hatua ya kutafakari maisha yako kiundani basi Tokaaaa!🥹.
Lakini kama unajua kuna kitu ndani yako...
Ugali ni Tanzania
Sima ni Zambia
Shima ni Zimbabwe
Fufu ni nchi za afrika magharibi
Bugali ni kwa wakongoman
Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo
Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao.
Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
Mimi ni mzee wa miaka 35, mzaliwa wa mkoani Iringa huko nyanda za juu kusini. Historia yangu ya maisha katika nchi hii imekuwa ni yenye kupanda na kushuka mithili ya roller-coaster. Imejaa mambo mengi ya kufurahisha na machache sana ya kuhuzunisha lakini yenye kunijenga zaidi. Shule ya msingi...
Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia.
Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
Mambo! hope you good
Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa
Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na...
Ukweli.
Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan.
Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka
02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)
03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..
Nipo njia panda...
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Mwandishi: Asalam Aleykum Kaka Dullah, habari ya uzima wako?
Dullah: Waleykum Salam Dada yangu, tunamshukuru Allah kwa neema na rikizi zake.
Mwandishi: Kwanza kabsa napenda kuweka wazi kuwa wewe ni kati ya mabondia ambao wameipatia sifa kubwa sana Tanzania katika sekta ya michezo ya masumbwi...
Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa.
2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
Habar za mda ndugu zangu.
Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana.
NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa,
nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba,
kunawakat tulilala njaa kabisa...
Niaje niaje.
Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara.
Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.