mahusiano

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Wakuu habari. Kuna huu msemo kua hakuna aliyekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha. Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake...
  3. Heloo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Wasalaaam waungwana, Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano. Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai mahusiano na kuachana. Nini sasa kifanyike ewe mwanamke mwenzangu. Tujitahidi kwa haya yafuatayo...
  4. 4X4byfar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Back
Top Bottom