Utafiti: Wanawake waliowazidi waume zao kwa miaka kumi au zaidi wanaridhika na kufurahia mahusiano kuliko wenye umri sawa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana jina kwa vijana wa kiume wanaotaka wanawake wakubwa. Tanzania vijana hao huitwa vibenten

Hali ya kutopendelea uhusiano na wanawake wenye umri mkubwa huenda ndiyo jambo linaloelezea ni kwanini ni mahusiano hayo ni nadra sana. Kwa tafiti za Marekani ni asilimia 1.3 ya ndoa ndio zina wanawake waliowazidi wanume kwa miaka 10 na kuendelea

Kwa mujibu wa tafiti ya dr Justin Lehmiller, doktari wa saikolojia ya jimai aliyetafiti watu 200 waliokuwa kwenye mahusiano ya wale waliokuwa na umri mkubwa kuliko wanaume zao kwa wastani wa miaka 22, wale waliowazidi waume zao kwa wastani wa miaka 17 na wale waliokuwa wanakaribiana kiumri na waume zao kwa wastani wa miaka mitatu

Iligundulika kuwa, wanawake waliuwazidi waume zao kwa Zaidi ya miaka kumi ni wanawake walioridhika Zaidi na walikuwa kujikita Zaidi kwenye mahusiano kuliko wanawake walio na umri unaokaribiana na wanaume wao

Furaha, na kuridhika kwao kunaweza kutokana na usawa ambao mwanamke amekuwa akiuhitaji, mtafiti huyo anasema. Kwa kuwa tafiti nyingi zinaonyesha wengi walio wanaoleta usawa wa kijinsia katika mahusiano huwa na furaha Zaidi kuliko wale wanaotaka kutawala wenzao



Zaidi Soma
Relationships in which a woman is significantly older than her male partner have always attracted a lot of attention and scrutiny. Case in point: remember what big news it was when Demi Moore and Ashton Kutcher were together? Or the international media obsession that followed French president Emmanuel Macron and his spouse, Brigitte, who happens to be 24 years his senior?

This same scrutiny isn’t usually applied to relationships in which men are significantly older than their female partners. For example, U.S. President Donald Trump happens to be 24 years older than Melania. Certainly, the Trumps have attracted a lot of media attention—it just hasn’t been for their age difference! Research on age-gap relationships bears out this double standard.

Specifically, people are more disapproving of male-female age-gap couples when the older partner is a women than they are when the older partner is a man [1]. In these woman-older relationships, the disapproval seems to be reserved primarily for the female partner. Indeed, while older women are commonly referred to as “cougars”—a term that implies a predatory nature—derogatory labels for the younger men who enter these relationships don’t really exist.

This strong bias against woman-older age-gap relationships probably helps to explain why they’re relatively rare. In fact, according to census data in the United States, just 1.3% of marriages featuring a man and a woman include a woman who is ten or more years older than her husband [2].

Given this double standard and social disapproval, can older women develop and maintain long-term, satisfying relationships with younger men? According to my own research on this topic, they most certainly can.

I surveyed approximately 200 heterosexual women in relationships, who happened to be about evenly divided between those who were significantly older than their male partners (22 years older on average), those who were significantly younger than their male partners (17 years younger on average), and those who were close in age to their partners (3 years different on average).

What I found was that women who were more than ten years older than their male partners were actually the most satisfied with and committed to their relationships compared to both women who were younger than their partners, as well as women whose partners were close in age [3].

Why were the older women happier with their relationships? I can’t say with certainty based on my data, but it may be because when the woman is older, it might shift the power dynamic toward greater equality. We know from a lot of research that greater equality in a relationship tends to make couples happier [4], so perhaps it’s the case that this arrangement is just more equitable.

Alternatively, maybe it’s not as much about equality as it is about putting women in a more dominant position. We know that a lot of men are into the idea of submitting to a dominant, powerful woman—and they tend to see older women as having those characteristics. After all, this is a big part of the reason why MILF-themed porn is so popular. So maybe it’s a feeling of empowerment that ultimately underlies older women’s greater feelings of satisfaction—and perhaps that empowerment allows women to get more of what they want, sexually and otherwise.

Although more research is needed, these results suggest that while age-gap couples featuring an older women and a younger man might face a lot of social resistance, this does not necessarily prevent them from developing strong, highly satisfying relationships.
 
Wanaume nao kuridhika ?? au unakuwa unaitwa bi mkubwa bila wewe kujijua....
 
INATEGEMEA UNATOKA NA NANI, SIO WOTE WAPO SAWA TU KUNA WENGINE NI TATIZO NA MAJUTO TU! ANAWEZA ASIWE NA SHIDA NA HELA YAKO BUT ATAKUSUMBUA KILA UCHWAO

NILIDATE NA SINGLE MOTHER MMOJA AGE ABOUT 40. NILIONA HAYA HAPA AMBAYO YALINIKERA SANA MPAKA KUACHANA NAE:
1. SIO FUNDI KITANDANI STYLE YAKE KIFO CHA MENDE TU UKITAKA TOFAUTI NA HAPO LAZIMA MKABANE, SHOW YA KIBABE IANZE.
2. HAPENDI KUPIGA SHOW KWA MUDA MREFU, MIMI NAPIGA SHOW HATA USIKU MZIMA MINIMUM KABISA NAPIA BAO 3 AU 4.
3.ANAOMBA HELA SANA BINAFSI SIONI KAMA NI MTU MWENYE SHIDA KIVILE, ILIFIKA POINT MPAKA MTOTO WAKE KIKE AKAJUA KUWA NAMLA MAMA YAKE. MTOTO NAE ALITAKA NIMLE ILE CHRISTMASS

4. ANA TABIA MBAYA, ALIWAHI KUNITUKANA MPAKA NIKACHUKIA.
 
Back
Top Bottom