Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP/MARRIAGE
The word survive is used because everyone's desire is to live within reach of their partner. But sometimes life gives you a good partner yet circumstance separates you physically. How do you cope?
1. TRUST EACH OTHER
Trust is the reason...
Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.
Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k
Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.
Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa.
Hebu...
Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani?
Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu.
1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa:
Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu.
Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza kwa usafi wa mwili. Yupo mtoto wa kindendeule aliyempindua mtoto wa kifipa kwa uzungushaji wa...
Habari za majukumu wana-MMU.
Kwa ufupi nipo kwenye mahusiano na binti takribani miezi 5 sasa. Mwanzo mapenzi yalikua mazuri na tulipendana sana na nilijitahidi kutimiza kile alichohitaji kadri ya uwezo wangu. Japo kuna kipindi mawasiliano yalipungua kwake ikawa nisipo mtafuta mimi yeye...
Usipokuwa makini unaweza kuhisi unapendwa kutoka moyoni, kumbe kinachopendwa hapo ni uwezo wako wa kugharamia mahitaji (pesa) kwa sasa. Unaweza kupewa sifa zote, kumbe zote ni kalaghabao ngoja pesa iishe ndio utagundua ukweli. Kutokana na ugumu au changamoto za maisha, wengi wamejikuta wapo...
Nimeshtuka kidogo kwa hili nililoliona muda huu saa moja nikiwa narudi home. Huku nakoishi kiukweli kuna ukimya sana. Unaweza ukakaa huku week usijue nini kinaendelea ulimwengu mwingine
Nikiwa narudi home kwangu mimi ni nyumba ya pili kutoka mwisho mtaani kwetu.then hakuna njia kumefunga sababu...
Habari wana JF leo nina bonge moja la tukio ambalo sijawahi kulipitia maisha yangu yote.
Mahusiano ni moja ya kitu chenye changamoto sana katika maisha yetu haswa sisi wanaume. Kutokana na asili ya wanaume tulivyo basi kuingia katika mahusiano ni committment na sio mazaha kwa sababu unajua zile...
Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa.
Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
Mapenzi bhana.
Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi...
Ni miaka zaidi ya 30 nakufahamu mzee wewe wa kipekee kabisa katika suala la mahusiano.uliwahi sema hutogombania K hata iweje.kama mtu mwingine atakula K ya mkeo ukagundua wala si Issue ya kumind.
Itaoshwa tu nawe utaendelea kula kwa wakati wake. Mzee kheri umefariki ukiacha Urithi Ulimwenguni...
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.
Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?
Wanaume, Leo...
Wakuu wa MMU, Kumekuwa na dhana ya muda mrefu ndani ya jamii kutokuwa wazi kuhusuana na ukatili unaoendelea katika mahusiano ya kimapenzi. Wengi wao wanaona si jambo la kiungwana kueleza juu ya hali wanazopitia ndani ya mahusiano hasa masuala ya manyanyaso na vipigo vya mara kwa mara. Wengine...
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar dating) nk.
Hayo mahusiano kwa hapa TZ yakitokea wahusika huonekana ni watu waajabu sana, issue kama...
Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka afanye huu utafiti na binti yeyote mrembo (ke) wakae sehemu moja kwa siku thelathini (30) tu wakiwa...
Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.