mahusiano

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo yafuatayo katika mahusiano

    YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:- Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama hawawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Mahusiano pasua kichwa

    Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi. Picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

    Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye... Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani... Ina maana gani kuwa na pesa plus an ugly woman ndani... Raise standards kwenye appearances za wanawake unaodate... Kuna watu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

    Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
  8. JamiiForums Tanzania Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
  10. JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa na Mahusiano: Yupi mke au Mume bora?

    YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya mahusioano na ndoa na namna ya kuweza kuwa na maamuzi sahihi juu machaguo sahihi kwenye mahusiano yao/ndoa...
  12. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusamehe

    Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  14. JamiiForums Tanzania Sijui mimi nina mkosi gani katika mahusiano

    Habari za jioni wanajamvi, moja kwa moja niingie kwenye nada, nimekuwa mhanga mkubwa wa wanawake hasa ninaowapata kwenye whatsapp groups, binafsi nina groups nyingi ambazo najitahidi ku socialize lkn nikafanikiwa kupata mademu kama wanne kwenye kila group ajabu kila mwanamke nilifamikiwa kuonana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidugu ya Watanzania: Kanisa la kwanza Tanzania lilitolewa kiwanja na Waislamu

    Sio tu Tanzania, ni kanisa la kwanza Afrika Mashariki. HOLY GHOST CHURCH KANISA KATOLIKI BAGAMOYO, TANZANIA LILIJENGWA 1872 Wakiongozwa na Sultan Majidd binafsi, Waislamu wa Bagamoyo waliwagawia kiwanja Wakristo wajenga kanisa mwaka 1868. Lilijengwa na wamishenari wa Kifaransa na kukamilika...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumvuta Mwanamke kupitia Mawasiliano

    JINSI YA KUMVUTIA MWANAMKE KUPITIA MAWASILIANO. Kisaikolojia wanaume hutumia direct communication ndomana mazungumzo ya men to men huwa short and clear. Men 1: "Oya niletee ile movie" Men 2: "Baridi mzee baba"... Story inaishia hapo. While women was designed to keep conversation going, wao...
  17. JamiiForums Tanzania Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

    AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO... 1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni. 2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo tu kazi yake ye kutazama na kusimulia ya wenzie wala yake hayawazii. 3: Mpenzi msikilizaji...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Magonjwa ya haiba yanavyoathiri mahusiano

    MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mahusiano ya fikra na ubunifu kwa vijana

    Kuna sehemu niliona pameandikwa kwa lugha ya kiingereza “Start with mindset” -Anza na fikra- Fikra ni namna unavyochukulia jambo, au ni mawazo ya mtu juu ya jambo fulani maishani au juu ya maisha kwa ujumla, fikra ni dhana. Fikra na umasikini au utajiri vinaenda sambamba sana. Lakini lazima...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nikitoka na mtu mwingine, jogoo hasimami

    Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili. Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki. Sasa hivi nikitoka tu na mtu mwingine, jogoo hasimami mpaka yeye. Embu nipatieni ushauri nifanyeje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…