Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu.
Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu.
"Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia maswali mbalimbali pia upimaji wa ujuzi kupitia uoneshaji wa vitendo.
Leo hii ninapenda kuangaza...
Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.
Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale waandishi wa habari wa Kenya ni levo nyingine watampiga Ruto maswali magumu tupu, hawaendi...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli.
Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo.
...
Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu.
Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi.
Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika.
Au wataleta kisingizio kingine?
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.'
SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja.
Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku.
Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko.
Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro.
Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣
Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba...
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.
Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.
Hakika huyu Dk siku...
Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya.
Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji
Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama bandari yenye tija itakayoleta ufanisi wa taasisi hizo
Hili litakuza Sana uchumi wetu Kama tukiwa makini...
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi
Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu
Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania...
Rais ni taasisi hivyo tunategemea mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ryoba atakuwa na mjadala mpana katika majadiliano yake na Rais Samia badala ya kuuliza yale yale yaliyoulizwa na mtangazaji nguli wa BBC Salim Kikeke.
Ni Leo!
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.