mahojiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Fuatilia mahojiano kati ya Rais wa Bukina Faso Ibrahim Traore aliyoyafanya akiwa Russia. TV za Magharibi zimegwaya kuyarusha

    https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana.. Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu.. Lakini...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kisa hiki cha Mtoto mchanga wa siku tatu Police wambeba kwa mahojiano inasemekana Kamtaja Samia..

    GT Maajabu hayajawahi kuisha.duniani hapo. Mchawi wa samia bado yupo hai. Inasemekana Mtoto aliyezaliwa tarehe 9 April 2025 ameongea na kumkanya Samia kuhusiana na mwenendo wa nchi kwa sasa.
  3. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
  5. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA! KUMEKUCHA WALIMU WAPYA.

    KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  9. G

    JamiiForums Tanzania East Africa Radio kwanini mlikatisha mahojiano na Mzee Bantu?

    Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita. Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

    Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye...
  12. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua aitwa kwa mahojiano kwa DCI, Ulinzi waimarishwa

    Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua. Malori ya polisi yenye vifaa vya kudhibiti umati ya watu yamewekwa nje ya boma. Security has been...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Tanzania kabla ya Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Melania Trump ataka Tshs Milioni 675 ili kufanya mahojiano na CNN. CNN yajibu mapigo!

    Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao wanahusika na uchapishaji wa kitabu chake kipya ilijibu ilitaka kiasi cha dola 250,000, zaidi ya shilingi...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

    Hii ndio Taarifa Mpya kutoka Mwananchi --- Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake Familia ya Ramadhan anayedaiwa kutekwa, kuuawa kikatili yamlilia Rais Mwinyi. Mama yake asema ana hofu na usalama wake. “Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

    Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

    Wakati akihojiwa na Salim Kikeke, Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva. Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili. Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

    Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote. 1. Kuhusu hoja ya Abdul...
  20. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
Back
Top Bottom