Mahitaji ya kuandikisha mtoto darasa la kwanza

Ingoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,081
Reaction score
6,367
Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu

Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf yoyote ana viatu vyeusi miaka mitano mpaka sita namba 30 vidogo kidogo viko katika Hali nzuri anisaidie kunipostia katika bus Mimi nitavipokea, mtoto wanaanza shule week ijayo Hali ngumu

Pia kama utakuwa na madaftari ya ziada hayajatumika nayo pia naitaji unisaidie! Uniform atasomea hizo hizo za chekechekea naomba mnisaidie kwa Hilo tu ntashukuru wanajf wenu 🙏@Thingis
 
Mkuu mke wako hajambo?
 
Mkuu nikushukuru sana Sina maneno mengi
Bado niko Kazini chief pesa ninayo kwenye Sim banking nikikutumia itakuja na utambulisho wangu hasa Jina na Bank Account nasikilizia mida nikusababishie kwa wakala. Milango haijafungwa pia kwa wadau wengine kama wakikusaidia siyo mbaya
 
Nisamee mkuu 🙏😢
 
Wakuu mhali Gani? Bado sijapata hitaji langu wakuu nawapigia magoti mbele yenu chondechonde Sina mahitaji hapo juu kwa ajili ya mtoto 🙏😢niliomba viatu na madaftari n.k ata uniform wakuu kila mtu anazo changamoto Mimi zangu nimezitoa kwenu 🙏🙏😔
 
Ndugu Zangu Fyatueni Elimu Ni Bure
Kwenye Utawala Wangu Hakuna Kupanga Uzazi
JPM
 
Back
Top Bottom