Covid-19 ni janga ambalo ni hatari kwa watu katika jamii, lakini ni hatari zaidi kwa watu wenye mahitaji maalumu kutokana na hali walizonazo kuwafanywa washinde kutekeleza mambo muhimu ili kuchukua tahadhari ya janga hili.
Wataalamu wa afya wanashauri watu wa karibu na wenye uhitaji maalumu...
Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au
what'sApp 0654121218 kwa picha zaidi za kazi zetu.
Tujenge pamoja.
YOU ARE FRIENDLY WELCOMED 🎈
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo
Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;
1. Vitu gan...
Habari za saa hizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.