Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne.
Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo...
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili...
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo.
Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe.
Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
Habari wanaJF,
Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Ni vyema ukafahamu yafuatayo:
Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa...
Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars).
Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa!
Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?
Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo.
Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin kwa kukiuka Sheria na Kanuni za Uchaguzi zilizoweka kwa mujibu wa katiba ya nchi hii?
Nani mwenye...
Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante.
Kwangu Mimi naona hiyo si...
Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu.
Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule.
Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA
Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo mwaka 1989.
Akiwa ni rais wa zamani wa jamhuri, Bashir alionekana katika hali nzuri wakati...
Dar es Salaam.
Ashiraf Geuza maarufu' Uchebe' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed maarufu 'Shilole' na kumsababishia maumivu makali.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali, Chesensi Gavyole mbele Hakimu Mkazi Hudi Hudi, alidai...
Wanasheria tupeni madini. Kinachoonekana ni kwamba wakurugenzi wameamua. Wanavuruga kwa makusudi kabisa zoezi zima la uchaguzi na hivyo kutishia kuvuruga amani ya inchi.
Najuliza, ina maana Hao jamaa wana kinga ya kutoshitakiwa? Kwasababu kama mwendo ni huu nibasi afadhali kusiwepo na hizi...
Salaam Wanajamvi,
Tundu Lissu ameshindwa kuhudhuria kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya uchochezi namba 236 ya mwaka 2017 na ile namba 123 ya mwaka 2017 kutokana kuchelewa kukamilisha taratibu za urejesheji fomu ya utuzi wa kugombea urais wa Tanzania.
Leo tarehe 26 Agosti...
BARUA YA WAZI KWA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA
WALIOPITISHWA BILA KUPINGWA HAWASTAHILI KUWA WABUNGE BILA YA KUCHAGULIWA
Kuna kundi la wagombea ambao hadi hivi wanaamini kuwa wao ni wabunge halali wa Jamhuri ya Muungano na hivyo wanasubiri siku ya kuapishwa ili wachukue nafasi zao...
Mgombea urais wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amesema atahudhuria mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya Uchaguzi.
Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi (open case) hivyo amewaomba Wanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.