Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja.
Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
Wakuu,
Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho.
Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi.
Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
Kesi hii ya Uhujumu uchumi ambayo ilibadilishwa kutoka kwenye tuhuma za uraia leo imeshindwa kuendelea kwa vile Mh Hakimu ameamua kutokufika Mahakamani .
Imepangwa kuendelea tarehe 24 February.
======
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera...
"Hatuwezi KULIPA MIL 500, Hili JIPU LIMEKOMAA, Mfukuzeni, Tukutane MAHAKAMANI" - Rais Dkt John Magufuli, leo Februari 11, amezindua wilaya mpya Kigamboni, Jengo la utawala na Hospitali ya Wilaya jijini Dar.
Mh. Rais ahoji kwanini mtu aingie mkataba wa ujenzi allipwe Tsh 500 million ili...
Baada ya kutokea vifo zaidi ya watu 15 katika mkanyagano wakati waamini wanaohisiwa ni wa dini ya kikristo wakigombea kwenda kukanyaga mafuta ya upako" huko moshi, mkoani kilimanyaro.
Kutokana na mashinikizo mbalimbali kutoka kwa Wakristo wasiokuwa na Imani kwa maji ya upako na mafuta ya upako...
Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi.
Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini .
Vyama vya...
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 7, 2020 wakikabiliwa na mashitaka matatu likiwemo la utakatishaji fedha.
Aidha, awali Tito Magoti na mwenzake walisomewa mashitaka matatu likiwemo la utakatishaji fedha kiasi cha shilingi...
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha
Hayo yamesemwa na Makamu...
Aliyekuwa mgombea binafsi wa urais wa Namibia Panduleni Itula, amewasilisha pingamizi la kisheria ya kupinga kushindwa kwake katika uchaguzi uliomalizika mwezi uliopita.
Itula ameitaka mahakama ya juu ya Namibia kuagiza kurejewa uchaguzi haraka iwezekenavyo, kwa madai kwamba haukuwa huru...
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika.
Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
Kupanga ni kuchagua na mara zote umakini unahitajika sana.
Chadema inakwenda kwenye uchaguzi mkuu utakaompata Mwenyekiti na makamu wake pamoja na kamati nzima ya utendaji.
Miongoni mwa wagombea wa nafasi hizo ni mh Mbowe na wakili msomi Tundu Lisu bila kumsahau mh Mwambe.
Angalizo muhimu...
Matiko akiri kumiliki silaha
Najiuliza swali fikirishi kwamba ni nini cha ajabu huyu mtu kumiliki silaha, kwa hadhi yake kama mbunge?
=====
Matiko akiri kumiliki silaha
Alidai mahakamani wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kuhojiwa na Jamhuri dhidi ya...
OCD wa wilaya ya Busega kwa muda sasa ameikalia kesi ya ubakaji ya mwanafunzi wa Mkula Sekondari iliyoko BUSEGA MKOANI SIMIYU inadaiwa kwamba Mwanafunzi huyo ameachishwa shule mpaka ss lakini cha kushangaza kesi ya mwanafunzi haijafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa hii inatokana na kwamba...
Aliyekuwa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Jonathan Ernest Mgongoro ameziburuza mahakamani, Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) na Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama (JOEC), kwa kumfuta kazi.
Mgongoro, alifutwa kazi na Tume ya Utumishi wa Mahakama, Julai 17...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka masharti ya dhamana kwa kutofika mahakamani bila taarifa yoyote.
Onyo hilo limetolewa leo Jumatano Novemba 20, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Thomas Simba baada ya kusikiliza utetezi wao, kubainisha kuwa...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, leo Jumatano Novemba 20, imewakamata na kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara sita wakiwamo raia wa kigeni kutoka nchini China kujibu mashtaka ya Rushwa na uhujumu uchumi.
Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi)...
Nimeota kuwa upande wa serikali umefanikiwa kumfikisha Idris Sultan mahakamani na kumsomea mashitaka matatu.
1. Kukalia kiti cha Rais!
2. Kumvalisha Rais nguo za ki-BITOZI au ki-CHEKIBOB!
3. Kumkata kichwa Rais
Mashtaka yaliposomwa, Hakimu alitaka kuchanganyikiwa, akapekuapekua nyaraka huku...
Shabani Hamisi ambaye ni mume wa mtangazaji na mmiliki wa Zamarad TV, Zamaradi Mketema amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na mashtaka ya kumtishia Venance John kwa bastola.
=====
Aliyemtishia mwenzake na bastola aachiwa
JUMATATU , 4TH NOV , 2019
NA MWANDISHI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.