kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,631
- 5,137
Wanasheria tupeni madini. Kinachoonekana ni kwamba wakurugenzi wameamua. Wanavuruga kwa makusudi kabisa zoezi zima la uchaguzi na hivyo kutishia kuvuruga amani ya inchi.
Najuliza, ina maana Hao jamaa wana kinga ya kutoshitakiwa? Kwasababu kama mwendo ni huu nibasi afadhali kusiwepo na hizi chaguzi. Maana kwenye uchaguzi huu na huko tuendako kunauwezekano wagombea wote wa upinzani either form zao kutokupokelewa au wata shindwishwa hata kama wameshinda kura.
Lakini kama inawezekana kuwashitaki mahakamani basi na washitakiwe ili iwe fundisho kwa wengine. Kingine nilichojifunza kesi ya wangwe dhidi ya jamhuri kuhusu wakurugenzi wa tume ya uchaguzi ilikuwa muhimu sana kwa mustakabari wa taifa hili na vizazi vijavyo.