Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo.
Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa...