Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025
===
Kilichojiri siku ya 3 kiko hapa: GE2025 - Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025
Majaji wanaingia na watu wote wamesimama...
Habarini,
Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya.
Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo.
Kuna jambo pia la...
Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach.
Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha.
Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake.
Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
Wakuu,
Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi
"Haki sawa kwa wote mapema...
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI...
Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI inayopatikana kupitia sheria tulizojiwekea kama jamii. Ni hatari sana kupuuza kanuni hii muhimu...
Neno Jaji, lina heshima kubwa sana Duniani. Na watu wakisikia mtu ni jaji, wanatarajia utakatifu ndani ya huyu mtu. Huyu siyo mtu wa kusukumwa sukumwa tu au kuamrishwa na watawala.
Kuna nchi, jaji mkuu na jopo lake wanao uwezo hata wa kumsimamisha kazi Rais, na kisha kusubiria hatua nyingine...
Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya.
Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo.
Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
Kinachotokea katika nchi ya Gondwana ni aibu, ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa kama danguro . Majaji wazima ukiwaona katika majoho yao utadhani ni watu makini. Kumbe hamna kitu, ni madalali wa kuuza haki. Tumezoea wale wanawake wasio na aibu ya kuuza miili yao, lakini mahakimu na majaji hawa...
DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho.
Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja...
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.
CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Naishauri Mahakama ipige kabisa Marufuku kali sana kwa mtu au watu kuingia na simu au kifaa chochote kile cha mawasiliano na kuanza kurekodi au kupiga picha au kuchukua matukio yoyote ile yanayoendelea katika kesi ya Lissu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
Hamjambo!
Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu.
Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili;
1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.
Ongeza orodha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.