mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama mnaamini Rais anaweza kuiamrisha mahakama kwanini mnamchokoza au kumdhihaki?

    Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha. Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia?? Dunderheads!
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mmeshajua hamkubaliki na wanachi hawawataki kuwa madarakani. Kumtesa Lissu kwa kutumia Mahakama ni kutwanga maji kwenye kinu

    Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki. Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama? Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM. Hoja kubwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Jaji anashindwa kutofautisha seating na sessi au alitaka kupotosha mshitakiwa na mahakama , Kwa wenye uelewa mtusaidie tofauti

    Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

    Waione Kiranga na Nyani Ngabu 🤭
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamruhusu Mwalimu Kasoga kufungua kesi ya kumpinga Rais uamuzi wa yeye kufukuzwa kazi

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Musoma, imempa muda wa siku 30, aliyekuwa mwalimu, Kasoga Mangire, kufungua shauri la maombi ya mapitio kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia kufukuzwa kwake kazi. Uamuzi huo umetolewa Januari 30, 2026 na Jaji Marlin Komba baada ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  8. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kangi: Bunge, Mahakama, na vyombo vya Dola viwe huru

    Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa. Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yabatilisha uteuzi wa washauri 21 wa Rais Ruto

    Januari 22, 2026 Mahakama Kuu ilibatilisha uamuzi wa kuanzishwa kwa Ofisi na uteuzi wa washauri 21 wa Rais William Ruto, ikisema kuwa mchakato ulikuwa wa siri, bila kufuata Katiba. Uamuzi huo ni kufuatia shauri lililofunguliwa na Taasisi ya Katiba (Katiba Institute) kwa kushirikiana na Wakili...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Zuio la kufanya shughuli za siasa nchini lilikoma Desemba 10, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUKOMA KWA AMRI YA ZUIO LA MAHAKAMA KUU LA TAREHE 10 JUNI 2025 KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA NCHINI 1. Mnamo tarehe 20 Januari 2026 Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi Mbeya Vijijini liliwavamia viongozi wa Chama cha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni Kiswahili? Is this a pressing need of our judiciary?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi rais Samia huwa anaambiwa ukweli na wasaidizi wake? Kuna Mtanzania yoyote ana imani na Mahakama hii inayomuweka Lissu Mahabusu bila kosa?

    Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama. Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa. Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mahakama iruhusu baadhi ya kesi zirushwe mubashara, isipende kuendesha mambo gizani

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia Duniani ulivyo kwa sasa ambapo kufanya hivyo haiwezi kuwa tatizo linaloweza kuathiri mwenendo wa kesi...
  20. Emekha Ikhe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Back
Top Bottom