Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi
Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa
Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza;
NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini!
Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie:
1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa, amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo kikuu cha kimahakama cha Umoja wa Mataifa.
Uchaguzi huo ulifanyika Jumatano Novemba 12, 2025 ambapo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama vilimpigia kura Profesa...
Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi
Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani...
Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania.
Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani.
Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147...
Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA.
kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima.
Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu.
Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka.
Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote.
Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
Peter Kibatala , Wakili wa Jeniffer Jovin 'Niffer' na wenzake amesema kuwa mteja wake kabla ya kusomewa mashtaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za uhaini alipigwa na kulazimishwa kutoa maelezo hivyo mahakama imeamuru watuhumiwa hao wapatiwe matibabu na ripoti ya matibabu...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakamamahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
Kuanzia Raisi Samia, IGP, na wakuu wa polisi wa mikoa wajiandae kwa kesi kubwa itakayo kuja huku mahakama ya kimataifa ya Netherlands ni muda tu sasa lakini ushahidi upo wa kutosha
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakamamahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako.
Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule.
Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea.
Soma pia: Kesi...
Ushahidi ambao waliutegemea kuwa msingi wa kumtia hatiani Lissu umekataliwa na mahakama.
Factum probandum. How can they prove then? Hata mashahidi waliofuafa walitegemea kukazia huu ushahidi uliokataliwa. Ndio maana leo wametoka nduki
Kutumia mahakama kunyanyasa Wazalendo kama Tundu Antipasi...
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia soma
> John...
ccm
chadema
heche
john heche
john heche akamatwa
machafuko
mahakama
makamanda
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
serikali
serikali ya ccm
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.
Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.