mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama inachangia Lissu kuendelea kuteseka gerezani?

    Zimepita siku 72 tangu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ilipoahirishwa, kwa muda usiojulikana baada ya upande wa Jamhuri kwenda Mahakama ya Rufaa kuomba mapitio ya kesi hiyo Februari 24, 2026. Hatua hiyo ilikuja wakati usikiliwaji wa mashahidi upande wa Jamhuri...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake

    Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama. Awali, baada ya Lissu kuwasilisha ombi hilo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mahakama ya Katiba ya kudumu

    Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote za kikatiba na kesi zinazohusu uchaguzi wa viongozi wa serikali. Mfumo wa mahakama tulio nao wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

    Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa. Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Mahakama yamwachia huru Mwandishi wa habari baada ya kukaa jela miaka miwili

    Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo. Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kesi ya mwezi mmoja mnasema ichukue miaka miwili. Hiyo Mahakama itaheshimika?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam tarehe 9 Aprili, 2026, amekemea vikali Mahakama kukaa na shauri kwa muda mrefu. Aidha, Jaji Masaju...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuslikuwa na Imani na Mahakama na Jeshi lakini sasa ni la Machawa!

    Tuslikuwa na Imani na Mahakama na Jeshi lakini sasa ni la Machawa! Tumebaki wenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa JamiiForums: Mahakama Kuu yayatupilia mbali mapingamizi ya Jamhuri. Kesi rasmi kuendelea

    Machi 25, 2026 DODOMA, TANZANIA – Katika kinachoweza kuonekana kuwa ni ushindi mkubwa kwa watetezi wa uhuru wa kidijitali barani Afrika, Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mfululizo wa mapingamizi ya Serikali yaliyolenga kuzuia shauri la kikatiba linalopinga kufungiwa kwa mtandao wa...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mahakama ya Rufaa kusikiliza maombi ya CHADEMA kutaka kesi ya mgawanyo wa mali kufanyiwa marejeo

    Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama iliyofunguliwa na Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili. Ikumbukwe kuwa, Chadema kupitia kwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini. Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu lawatia hatiani watu sita kwa 'UGAIDI'

    Washtakiwa sita jana walipatikana na hatia na mmoja kuachiwa huru katika kesi ya ugaidi inayohusishwa na tuhuma za kuwa sehemu ya mpango wa kuipindua Serikali na kuanzisha dola ya Kiislamu nchini. Jaji Godfrey Isaya, akiongoza jopo la majaji watatu katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yampa Rais William Ruto afueni katika kesi ya washauri huku mjadala kuhusu ‘Baraza Lisilo la Kikatiba’ Ukizidi

    Rais William Ruto amepata afueni ya muda baada ya Court of Appeal of Kenya kusitisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokuwa umetangaza kuwa Baraza lake la Washauri 21 halikuwa la kikatiba, hatua inayowawezesha washauri hao kuendelea kuhudumu na kupokea mishahara yao wakati rufaa ikiendelea kusikilizwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Serikali ya Tanzania

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo jijini Arusha imetoa uamuzi muhimu unaoitaka Tanzania kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyohusiana na masuala ya uchaguzi na haki za kidemokrasia. Uamuzi huo umetolewa Machi 6, 2026 katika kikao cha 80 cha mahakama...
Back
Top Bottom