Kifungu cha 148(5) cha CPA kinacho wanyima watuhumiwa wa makosa yaliyoainishwa na kifugu hicho ni batili na kifutwe kwa kuwa kinakiuka Katiba ya JMT na serikali.
CHA AJABU: Mahakama imetoa muda wa miezi 18 kurekebisha /kufuta kifungu hicho.
MAAJABU: Kitu batili unakiruhusu kiendelee kuwatesa watu kwa miezi 18. Mahakama huwa haikubali UBATILI kusimama katika vitabu vya hukumu zake!!