Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu."
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini)...
Tarehe 16 Julai 2025, Mahakama Kuu ya Malawi ilitoa uamuzi wa kutangaza kuwa Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohalalisha kashfa kuwa kosa la jinai, ni kinyume na Katiba. Mleta maombi, Joshua Chisa Mbele, alipinga kifungu hicho akisema kinakiuka haki yake ya uhuru wa kujieleza...
Miaka zaidi ya themanini tangu utawala wa Adolf Hitler ulipoanzisha vita vya dunia na mauaji, kivuli cha historia ya Nazi kimeibuka tena, safari hii kutoka kwenye sehemu isiyotarajiwa, basement ya Mahakama Kuu nchini Argentina
Historia ya Nazi ilianza mapema miaka ya 1930, pale chama hicho...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi.
Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
Wakuu!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai alilolifungua mahakamani hapo.
Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika...
Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki!
AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu.
Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imewapeleka rumande watuhumiwa sita wanaokabiliwa na tuhuma nzito za mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir, tukio lililotikisa jamii ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi Mei, 2025.
Watuhumiwa hao ni Salum Manja Ame (23), Idrisa Kijazi Kasim (41), Ali Mohamed Ali (30), Ali...
Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza.
Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali.
Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana.
Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
Wafuasi wa Dkt. Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale walilipuka kwa shangwe nje ya Mahakama ya Nakawa baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Christine Nantege kutoa uamuzi kuwa mahakama hiyo haina tena mamlaka ya kusikiliza kesi yao, kufuatia kesi hiyo kuhamishiwa rasmi katika Mahakama Kuu.
Uamuzi huo...
Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jana, Jumatano
Familia ya Lungu, ambayo imepinga ushiriki wa Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, katika...
Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo.
Katika uamuzi uliotolewa...
Kampala, Uganda
Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025 imeahirishwa hadi Juni 27, 2025.
Shauri hilo lilipangwa kusikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jaji...
Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
Sakata la mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambalo Yanga imeapa kuwa haitapeleka timu uwanjani Juni 15, mwaka huu, limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa mahakamani na mmoja wa wanachama wa Yanga, ambako hata hivyo, chombo hicho cha kutafsiri sheria kimetoa uamuzi rasmi leo, Ijumaa, Juni 6, 2025...
Wakuu nimejaribu kuaccess website ya mahakama Kuu ya tanzania leo hii tarehe 19 may 2025 Saa 10:08 Asubuhi bila mafanikio Domain ya site hio ni www.judiciary.go.tz
Nimefanya Ivo ili nione kama kunaweza Kuwa na Update zozote juu ya Case ya Tundu Lissu inayotarajiwa kusikilizwa leo mahakama ya...
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.
Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.