mahakama kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali asubuhi hii Mahakama Kuu Kesi ya Lissu

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi Ikimbukwe kuwa, pamoja na mambo mengine kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025

    Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025. Kilichojiri kwenye utetezi wa tano kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025 === Majaji wameingia kwenye...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa Septemba 15, 2025

    Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake. Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025

    Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025 === Kilichojiri siku ya 3 kiko hapa: GE2025 - Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025 Majaji wanaingia na watu wote wamesimama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu zina mashiko sana, hofu yangu ni Mahakama Kuu kumuachia halafu wakamkamata tena

    Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie busara katika kufanya maamuzi badala ya sheria. Hivyo, kama Mahakama itaamua kwa uhuru, ni wazi Lissu...
  8. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania GE2025 Martin: Kesi ya Lissu imehamishiwa ukumbi mdogo unaoingiza watu 60 na nafasi zimejazwa na watu tusiowafahamu

    Toka kwa martin maranja masese (X) "Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aibukia Mahakama kuu kesi ya Lissu ikianza kuunguruma leo Septemba 8, 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu kanda ya Dodoma yatupilia mbali mapingamizi ya Mch. Malisa dhidi ya Samia na Nchimbi

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uamuzi huo...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu. Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama kuu kuhusu hukumu yaje ya kutaka mashahidi wasionekane akiwa kule na akaangukia pua iweje aje...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi iliyofunguliwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima inaendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma leo Agosti 12, 2025

    Kesi iliyofunguliwa na kanisa la ufufuo na uzima inatarajiwa kuendelea siku ya leo Agosti 12 katika Mahakama Kuu kanda ya Dodoma ambapo Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Askofu Machumu Maximillian Kadutu (Mwanamapinduzi) ameongoza jopo la Maaskofu pamoja na Wachungaji kuelekea katika kesi hiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi zinazomhusu Lisu, Mahakama Kuu haiaminiki tena, ni Kangaroo Court of the century

    A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
Back
Top Bottom