mahakama kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia uharibifu wa vifaa vya uchaguzi katika maombi yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT Wazalendo majimbo ya Unguja

    Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026. Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  4. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Inatisha majaji wa mahakama kuu kwa shinikilizo la CCM wanaeleza Uongo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Zuio la kufanya shughuli za siasa nchini lilikoma Desemba 10, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUKOMA KWA AMRI YA ZUIO LA MAHAKAMA KUU LA TAREHE 10 JUNI 2025 KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA NCHINI 1. Mnamo tarehe 20 Januari 2026 Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi Mbeya Vijijini liliwavamia viongozi wa Chama cha...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kufuatia kifo cha Benedicto Mallaba aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Benedicto mallaba kilichotokea Disemba 19, 2025. === Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaungana na Watanzania wote kutoa salamu...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Pemba kusikiliza kesi ya uchaguzi ya wagombea 8 wa ACT Wazalendo leo Desemba 16

    Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Serikali kukaa madarakani bila idhini ya wananchi ni UHAINI dhidi yao

    Kwa mujibu wa KATIBA ya Tanzania wananchi Wana mamlaka ya kuamua watu wakuwaweka kwenye mihili ya nchi Ni kosa la kiuhaini na uasi kuchukua mamlaka bila idhini yao Ni ruksa Kwa wananchi kukuondoa kwenye hio nafasi Ili wamweke wanayemtaka Kuupora mamlaka ya wananchi ni uhaini na uasi ambao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watinga Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Tume iliyoteuliwa na Samia kufanya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uhalifu wakati wa Uchaguzi’

    Mawakili wetu na wanaharakati hawajapoa. Wameenda Mahakama Kuu kupinga Tume iliyoteuliwa na Rais Samia kufanya Uchunguzi wa Matukio. Wananchi watatu wakiongozwa na dada Rose Mwakitwange na Mawakili wao wameamua kuingilia kati suala hili. =============== Kesi hii inapinga uamuzi wa Rais kuunda...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kudharau amri ya Mahakama kuu kusikilizwa leo Novemba 28

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025 Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo...
  13. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu aiomba Mahakama Kuu imuunganishe kama mdaiwa kwenye kesi ya Mgawanyo wa Mali za Chama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama. Mhe Lissu anaiomba mahakama aunganishwe...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda huu, leo (Ijumaa, Novemba 07.2025) washtakiwa wengine 95 wamefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya uhaini Shtaka la kwanza ni kupanga njama za kutenda la uhaini ambapo inaelezwa kuwa kati ya Aprili hadi Oktoba 29 mwaka...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mashauri wawili kuhusiana na viongozi wa Chama kusikilizwa kesho Mahakama Kuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauatangazia umma kwamba, kesho tarehe 22 Oktoba, 2025 kutakuwa na mashauri mawili Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam. Shauri la kwanza, ni la Uhamini linalomkabli Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antipas Lissu ambapo Mahakama Kuu itatoa...
  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole amefika mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole kupitia Wakili wake Peter Kibatala, inaendelea leo, Jumatano Oktoba 15.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Katika kesi hiyo ambayo inasikilizwa chini ya...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kusikiliza ombi la Kibatala kuhusu kutekwa kwa Polepole Oktoba 9

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole. Wakili Kibatala aliwasilisha maombi hayo chini ya hati ya dharura, Oktoba 7, 2025 akiiomba mahakama itoe amri ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama Kuu kutoa uamuzi mdogo Septemba 22

    Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu Jumatatu ya tarehe 22 Septemba 2025. Uamuzi huo unakuja kufuatia Lissu kuweka mapingamizi yaliyokuwa yanahusiana na...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025

    Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025 Kilichojiri kwenye utetezi wa siku ya sita kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025 Hadi muda huu watu...
Back
Top Bottom