mahakama kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu za Mahakama zina athari kubwa sana hata kwa mtoaji

    Hukumu inayotolewa na mahakama zinaathari kubwa Zinakuwa reference katika kesi mbali mbali zinazotokea na kutolewa uamuzi, katika maisha yetu, zikiwa mbaya zinaleta athari zaidi hata kwa mtoaji hukumu hizo. Kwa mfano Jaji kasema Kubakwa sio tatizo kwa sababu kajitakia kwa kuwa alitembea usiku...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

    Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la wakazi wa Isela, Songwe Kupinga Kuhamishwa

    Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka kupisha hifadhi ya Kimondo. Hayo yamebainishwa Ijumaa, Agosti 23, 2024, jijini Mbeya chini ya...
  4. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea

    Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kesi iliyofungiliwa na Adv Kisabo kuhusu walipo kina Soka kusililizwa kesho Dar mahakama Kuu

    Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro. Umuamuzi huo umetolewa leo August...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

    Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Ghana Yapinga Maandamano ya Vijana

    Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama. Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ICC ni Mahakama Kuu ya Kimataifa ya Uhalifu au inayoshughulikia Uhalifu?

    Wajameni mi huwa sielewi kabisa ICC maana yake nini! Ni mahakama ya uhalifu au mahakama inayoshughurikia uhalifu. Man hivi ni vitu viwili tofauti. Nimekuwa nikisikia kutoka radio mbali mbali hususani BBC na DW eti ni mahakama kuu ya kimataifa ya uhalifu which mens it is there to violate issues.
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu yaidhinisha Jeshi kuingia Mtaani kurejesha Utulivu

    Mahakama Kuu imeidhinisha matumizi ya nguvu za Kijeshi kurejesha utulivu kufuatia Siku kadhaa za Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambapo takriban watu 20 wameripotiwa kuuawa Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi alisema kupelekwa kwa Jeshi Mitaani ni muhimu ili kulinda miundombinu ya...
  11. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Mahakama Kuu Yafuta Hukumu ya Kijana Aliyeshitakiwa kwa Kumbaka Binti Bikra wa Kijerumani

    Wakati mwingine, lugha ngumu na utaratibu za kisheria zinaweza kufanya haki ionekane kama kitendawili. Kesi ya kijana Selemani inatupa somo muhimu: makosa madogo ya kisheria yanaweza kuleta madhara makubwa. Shortly, Selemani alishtakiwa kwa makosa ya unyang’anyi na ubakaji wa binti bikra kutoka...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu nchini Zanzibar yafuta kifungu kinachozuia uagizaji wa vileo

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali Mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba ya Bandari

    HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Sheria ya Ukomo inayompa Waziri wa Katiba na sheria kuongeza muda wa ukomo wa kufugua mashauri ni batili

    Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act) vinapingana na katiba na hivyo ni Batili. 1. Vinamnyima mtu haki ya kusikilizwa 2. Vinamnyima mtu haki...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

    KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi. Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Canada Yaishtaki Precision Air Mahakama Kuu ya Uingereza Juu ya Madeni ambayo hayajalipwa

    Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege. Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
Back
Top Bottom