magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

    Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena. Kazi Iendelee! Kesho ni Pentecoste.
  2. JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

    NILIWAHI KUMWAMBIA HAYATTI MAGUFULI, LEO NARUDIA KWA RAIS SAMIA, ILI ASIJEPOTEZA MUDA WAKE. Na, Robert Heriel Niliwahi kuandika hapa miaka mitatu iliyopita, niliipa makala ile kichwa kisemacho "Rais Magufuli unapoteza muda wako tuu" katika makala ile watu wengi walinitukana, wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

    Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi, kiuchumi, kiutamaduni na kihuduma. Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli . Magufuli...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

    Wakuu Habari Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani. Kwanza kitendo...
  5. JamiiForums Tanzania Magufuli City (Mji wa Kiserikali) na Historia Kuntu itakayoendelea

    Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini. Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI. Baada ya uamuzi wa KUHAMISHIA WIZARA ZA NCHI jijini DODOMA na kuendelea na kazi mjini huko basi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  7. JamiiForums Tanzania Hata Magufuli angekuwepo angetakiwa kuchunguzwa kama DC Sabaya

    Kwa ufupi sana. Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji. Kwa mambo ambayo alikuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani wake leo hii angekuwa hai alitakiwa kuondolewa kwenye urais na...
  8. JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  10. JamiiForums Tanzania Magufuli Bus Terminal hakuna mabadiliko yoyote, ni kama imetelekezwa

    Habari zenu, Inasikitisha ila ndio ukweli, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kituo hiki mara ya mwisho nilifika kabla JPM hajafariki, ingawa kilikua hajikakamilika ila kulikua na kurupushani kidogo ukiona wajenzi wanafanya kazi. Leo nimepita tena ila sijaona mabadiliko yoyote makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

    Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti. Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu. Mbio yenu inaisha 2025. Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti. Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu. Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya kwenda kumjulia hali na kumpa pole Mama Janeth Magufuli?

    JE, KUNA UBAYA KWENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI!? Kwanza nilimuona mtoto wa Hayati Rais Magufuli akisema mama yao hajisikii vizuri tangu Mzee alipotangulia. Baadae nikaona habari ya Baba Mdogo kupita Chato akielekea Kigoma na watoa habari walisema amekwenda kumjulia hali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
  15. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  16. JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

    Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi. Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii...
  17. JamiiForums Tanzania Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania

    Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
  18. JamiiForums Tanzania Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

    Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha! Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!? Leo 17:15hrs 02/05/2021 Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

    Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka. Imagine alikuwa na sababu gani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…