Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi, kiuchumi, kiutamaduni na kihuduma.

Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli .

Magufuli aliletwa kutuaminisha kuwa na sisi ni viumbe wa Mungu kama walivyo wenzetu wa magharibi na mashariki.

Kamati imetoa mapendekezo (sio maagizo) kwa Rais, Serikali na watanzania.bado tuna fursa sasa ya kuamua nini tufanye.

kwangu mimi pendekezo namba 7 la kamati iliyoundwa kuhusu covid ni pendekezo muhimu na linalozingatia msimamo wetu na Hayati Rais wetu Magufuli.

Katika kumuenzi ni muhimu sana kuhakikisha kuwa pendekezo la kuwa na kiwanda cha chanjo linapewa kipaumbele cha haraka na kuhakikisha tunakuja na chanjo yetu kama watanzania ambayo itapitia michakato ya haraka na kutuletea chanjo ya corona kwa hisani ya watanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ni taasisi gani inaweza kuyafanya hayo?
MUHAS?
UDSM?
SUA? Hawa wapo busy na panya wa mabomu
 
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi,kiuchumi,kiutamaduni na kihuduma.

Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli .

Magufuli aliletwa kutuaminisha kuwa na sisi ni viumbe wa Mungu kama walivyo wenzetu wa magharibi na mashariki.

Kamati imetoa mapendekezo (sio maagizo) kwa Rais,Serikali na watanzania.bado tuna fursa sasa ya kuamua nini tufanye.

kwangu mimi pendekezo namba 7 la kamati iliyoundwa kuhusu covid ni pendekezo muhimu na linalozingatia msimamo wetu na Hayati Rais wetu Magufuli.

Katika kumuenzi ni muhimu sana kuhakikisha kuwa pendekezo la kuwa na kiwanda cha chanjo linapewa kipaumbele cha haraka na kuhakikisha tunakuja na chanjo yetu kama watanzania ambayo itapitia michakato ya haraka na kutuletea chanjo ya corona kwa hisani ya watanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sasa kwnini hukuongeza na pendekezo lako la nyunngu ili uridhike zaidi.
 
KAMATI NA GENGE ZIMA LIMELETA COVID UCHWARA, WANATAKA NCHI ITUMIE KINGA UCHWARA. KUJAZA WANANCHI HOFU TU. UGONJWA UMEPOA WANAJIFANYA KUANZA KUAMSHA WAJAZE HOFU NA SINTOFAHAMU KWA WANANCHI. WALAANIWE WOTE WANAOUNGA JUHUDI HARAMU ZA CHANJO, Pole nchi yangu!!.

Siungi kwa chochote kuhusu chanjo....ni kuzua taharuki kwa wananchi ndio ninaloliona tu hapo
 
naunga mkono, sijui wajinga wataisha lini hii nchi
 
Kaka kiwanda sio shida.shida ni dawa mnayotengeneza mmefanya utafiti lini hadi muipate na je garama za utafiti na uzalishaji tunaweza.

Jamani nashauri tusiwe tunawacheka hawa nduguzetu MATAGA hawafamu mambo Mengi sana.

Mfano chanjo ya marekani unazoziona serikali ya marekani ilitoa ruzuku kubwa sana kufanikisha utafiti wa dawa (more than $4 bil) achilia mbali makampuni yenyewe hela yalizotumia.

Nashauri kabla kujenga kiwanda dawa ya corona tujenge dawa za chanjo za watoto
 
KAMATI NA GENGE ZIMA LIMELETA COVID UCHWARA, WANATAKA NCHI ITUMIE KINGA UCHWARA. KUJAZA WANANCHI HOFU TU. UGONJWA UMEPOA WANAJIFANYA KUANZA KUAMSHA WAJAZE HOFU NA SINTOFAHAMU KWA WANANCHI. WALAANIWE WOTE WANAOUNGA JUHUDI HARAMU ZA CHANJO, Pole nchi yangu!!.

Siungi kwa chochote kuhusu chanjo....ni kuzua taharuki kwa wananchi ndio ninaloliona tu hapo
Mama mi 5 tena hahaha
 
Kaka mbona chanjo ni hiari kama mtu hataki hapewi.

Kaka utataka watu waishi unavyowaza Wewe itawezekana kweli??????

Acha watu wafanye wanachokiamini,
Kama mtu anaamini maombi sawa
Kama mtu anaamini chanjo sawa
Kama mtu anaamini mizimu sawa
Kama anapiga nyungu sawa maadam havunji sheria.

UTAISHI BILA AMANI UKIWA MTU WA KUTAKA WATU WAFNYE NA WAWAZE KAMA WEWE
 
KAMATI NA GENGE ZIMA LIMELETA COVID UCHWARA, WANATAKA NCHI ITUMIE KINGA UCHWARA. KUJAZA WANANCHI HOFU TU. UGONJWA UMEPOA WANAJIFANYA KUANZA KUAMSHA WAJAZE HOFU NA SINTOFAHAMU KWA WANANCHI. WALAANIWE WOTE WANAOUNGA JUHUDI HARAMU ZA CHANJO, Pole nchi yangu!!.

Siungi kwa chochote kuhusu chanjo....ni kuzua taharuki kwa wananchi ndio ninaloliona tu hapo
Wewe kwa umri wako hujazipata hizo chanjo kama ishirini kweli,vinginevyo ungekuwa hauko sawa ama,usingekuwa unaishi Hadi leo,aunasema uongo ndugu zangu.
 
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi,kiuchumi,kiutamaduni na kihuduma.

Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli .

Magufuli aliletwa kutuaminisha kuwa na sisi ni viumbe wa Mungu kama walivyo wenzetu wa magharibi na mashariki.

Kamati imetoa mapendekezo (sio maagizo) kwa Rais,Serikali na watanzania.bado tuna fursa sasa ya kuamua nini tufanye.

kwangu mimi pendekezo namba 7 la kamati iliyoundwa kuhusu covid ni pendekezo muhimu na linalozingatia msimamo wetu na Hayati Rais wetu Magufuli.

Katika kumuenzi ni muhimu sana kuhakikisha kuwa pendekezo la kuwa na kiwanda cha chanjo linapewa kipaumbele cha haraka na kuhakikisha tunakuja na chanjo yetu kama watanzania ambayo itapitia michakato ya haraka na kutuletea chanjo ya corona kwa hisani ya watanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mtu kama huyu ukimwambia huu ujumbe wsko atakucheka

IMG_20210518_220658.jpg
 
Back
Top Bottom