Hayati Magufuli hachafuki kirahisi kama mnavyodhani, Watanzania wana macho na akili timamu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.

Chadema wangechapisha hadi kanga.

Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo PAC walitoa majibu bungeni kuwa ilikuwa ni ishu ya mahesabu tu.

Chadema na CCM mafisadi mlishafeli ibieni watanzania lakini hamuwezi kupotosha umma. Ipo siku huo wizi wenu utakoma.
 
true!
 
We jamaa aliyekuroga ana roho mbaya sana ! kachanganya ubongo na kokoto .
 
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.

Chadema wangechapisha hadi kanga.

Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo PAC walitoa majibu bungeni kuwa ilikuwa ni ishu ya mahesabu tu.

Chadema na CCM mafisadi mlishafeli ibieni watanzania lakini hamuwezi kupotosha umma. Ipo siku huo wizi wenu utakoma.
Hata kifo kimeshindwa kututenga na Magufuli

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom