GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,130
"Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro.
Chanzo: Mitandao ya Tanzania
Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini Tanzania ( Bara na Visiwani ) ni kwamba acheni kupoteza muda Wenu Kumchongea Hayati Magufuli kwa Watanzania ili Kujiimarisha Madarakani na kutaka Watanzania wawaone mnafaa, mnaweza na mnapendwa wakati kumbe wengine tuko na Jamii 24/4 na mnachukiwa kuliko hata vile Shetani Mkuu Lucifer anavyochukiwa.
Kwetu Sisi ( hasa Kwangu Mimi GENTAMYCINE ) Hayati Magufuli ( pamoja na kwamba Kibinadamu nae alikuwa na Mapungufu yake ) ila ataendelea kuwa ni Rais wa Kukumbukwa hasa kwa Mambo makubwa aliyoyafanya kwa Tanzania na Watanzania kwa Miaka yake Sita ( 6 ) tu aliyoihudumu.
Halafu Siku zingine msiwe mnazunguka sana Kimaelezo na mngeenda tu moja kwa moja na kusema tumeamua Kurudisha utaratibu wa Kupandisha Mishahara Wafanyakazi kama uliokuwepo Kipindi cha Rais Mstaafu Kikwete ( ambaye ndiyo mnachukua 99% ya Ushauri wake ) wenye Akili Kubwa tungewaelewa hivi mnavyozuga na Kuzunguka kunakotufanya tuzudi tu Kuwadharau na Kuwasanifuni.
Hovyoooooooo......!!!!!!