magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

    Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli stuka wanaokuzunguka wanakuharibia angalia sura zao unapoongea nao ikulu ni Kama wanasema hili nalo Bora liondoke.

    Mh magufuli stuka comrade wote wanaokuzunguka sidhani Kama wanakutakia mema. Ukitaka kuamini angalia mkanda wa video Mara mbilimbili utagundua sura zao zinaongea yaliyoko mioyoni mwao. Stuka mzee chombo kinaenda mrama wao wanajua utalinywa mwenyewe wao hawatahusika. Mjumbe hauwawi.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huoni aibu? Mbunge anapigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna chochote kilichofanyika!

    Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza! Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo. Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nenda Lugola, Bodaboda watakukumbuka

    Duniani kila kitu kina pande mbili, wema na ubaya, mbele na nyuma bila kusahau juu na chini. Siko hapa kuongelea mabaya ya Kangi Lugola maana atayaongelea mwingine. Mimi naongelea jambo moja tu ambalo ni miongoni mwa mazuri mengi aliyoyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Bodaboda...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho. Anasema Zitto alipaswa awasilishe maoni yake na mapendekezo kuhusu ubovu wa sera ya elimu kisha litazamwe. Ndio...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

    Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika. Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumtumieni Rais Magufuli vizuri, Akiondoka tutamkumbuka sana

    Najua kuna watu ambao hawataelewa ninachotaka kusema ila wacha niseme tu. Tangu wamau ya kwanza watu wamekuwa wakisubiri tu siku watakapopata kiongozi bora atakayeleta neema.Enzi za baba wa taifa watu hawakumtumia vizuri alipoondoka akaja Mzee ruksa akafanya yake naye watu hawakumtumia vizuri...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

    Rais Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na mabalozi Ikulu leo, amesema kwamba kuna mambo mengi yamezungumzwa na tuyapuuzie. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia alikuja hapa, mwaka jana, kwahiyo wanatoa pesa wakijua sisi Tanzania tuna misimamo gani na tunafanya nini, hao wengine ni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

    Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!? Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu. Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi? Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira? kwanini wasijisomeshe kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Magufuli awaogope wapinzani aliowashinda kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa asilimia 99.9?

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyoitoa Rais Magufuli wakati ajihutubia makada wenzie wa CCM kuwa wasibweteke kuwa watashinda kirahisi uchaguzi mkuu ujao, ambao unategemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu na akawaeleza makada hao kuwa wapinzani wana mbinu nyingi za wazi na za kificho, kwa hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

    Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani...
  17. JamiiForums Tanzania Lengo la Rais Magufuli kuzuia makinikia ni ili Smelter inunuliwe hapa nchini. Prof. Muhongo alifukuzwa uwaziri kwa kushindwa kununua Smelter

    Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya nchi. Nakumbuka sana ulimlaumu sana Prof. Muhongo ukafikia hatua yakumwambia kuwa Prof. mwenzake yaani...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli: Wapinzani wametukubali wanaccm wanaodai chama " kinawafuatafuata" wanaweza kuondoka

    Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewataka wanaccm wanaodai chama kinawafuata fuata kujirekebisha mara moja kwani usipofuata maadili chama hakitaacha kukufuatilia. Dr Magufuli amesema kwa sasa CCM iko imara kuliko wakati mwingine wowote na hata wapinzani wanaikubali. Dr Magufuli amesema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

    Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye maslahi ya Rasilimali za nchi, Magufuli ametuvusha salama

    Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji. Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…