Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm.
Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee.
Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu.
Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
RAIS wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema ana hakika Rais Dk. John Magufuli hatataka kuongeza mhula wa tatu wa uongozi badala yake atafuata nyayo za watangulizi wake kwa kuhudumu mihula miwili.
Alitoa kauli hiyo jijini Mwanza juzi wakati wa hafla ya utambulisho wa kitabu chake cha ‘My...
I just wonder people call him Dictator but the fact is doing a good job and I support him 100 percent. We Africans we don't like to work and take responsibility and we don't understand the meaning of accountability; the reason why we are behind is because of this kind of stupidity and nonsense...
Rais Magufuli amesema si vema wala haki viongozi wa kisiasa kuwakamata na kuwaweka mahabusu madaktari.
Rais Magufuli amesema hatoi kinga ya moja kwa moja ila anawatahadharisha viongozi wa kisiasa kuwa siyo jambo la hekima na busara kuwaweka rumande madaktari
Source ITV habari
My take...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
Rais John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, uteuzi ambao ulianza rasmi Januari 30 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo walioteuliwa ni Dkt. Benson Otieno Ndiege ambaye amekuwa Mrajis wa Vyama vya Ushirika...
Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla.
Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
Mh Rais wewe kama Amiri Jeshi Mkuu huu ndio wakati kulifanyia mabadiliko Jeshi la Polisi. Liwe jeshi la kisasa ambalo lina askari wenye weledi na maadili.
Fanya mabadiliko liwe Jeshi la kulinda raia na mali zao na sio jeshi la kulinda watawala (legacy iliyoachwa na wakoloni).
Fanya mabadiliko...
Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd.
Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM...
Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa.
Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi...
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
Leo Februari 14, 2020 Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye yupo nje ya nchi katika harakati za kuhami Demokrasia yetu ya Tanzania kwa kuhamasisha mshikamano na Jumuiya za Kimataifa, ameandika yafuatayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter;
Aprili...
Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.
Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90
Wakati huo.
Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Israeli, Generali Joab Zeruiah alikuwa ni mtu ambaye hakujiamini katika nafasi aliyokuwa nayo. Kila wakati alihofu kuwa angeliondolewa katika nafasi ile hivyo alitumia njia za hila ili kulinda nafasi na masilahi yake! Kuna wakati alipohofia kuwa Mkuu wa Majeshi...
Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa
-----
Watanzania tumejenga kwenye mikondo ya maji haizibi, mvua ikija kuwachukua mnapiga kelele ni mafuriko, mnajifurika wenyewe, mlima upo hutaki kujenga unakwenda kujenga kwenye...
Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa.
Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...