magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  2. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

    Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la kuifanyia nchi yetu lakini nimegundua kuwa ametembelea kwenye mafanikio makubwa ya Magufuli. Ahsante...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kura kuwa ni zaidi ya lulu ever!

    Ndiyo, Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka huu kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nikamchinje mtu huku namkodolea macho kodoooooo! Ni kweli kuwa ndani ya utawala huu wa Rais Magufuli ndiyo nimeanza kuonja...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio ya kukumbukwa katika miaka mitano ya Utawala wa Rais Magufuli

    Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki. Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela. Sugu akiwa mtoto...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania hawamchukii Magufuli, wanaichukia CCM kwa sababu ya rushwa kukithiri

    Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao. Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM. Sisi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

    Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya. MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA Mwenyekiti wangu, maisha ni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lissu alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe Rais wetu?

    Alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe rais wetu? Alisema Magiufuli atake asitake korona intamshinda na kuthibitisha hana uwezo wa kuongoza, alitaka korona ituue kwa wingi kuthibitisha yake sio? Si lolote si chochote ila anataka urais anufaike yeye na jamaa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana). Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na...
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli mwaka 2016, tutauza Ulaya mitumba, mwaka 2020 mnipe awamu nyingine tutauza mitumba Ulaya

    Hua nawauliza watu ni vitu gani tangible Magufuli amefanya cha maana kwa miaka 5 iliyopita chenye kuboresha au kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja, utajibiwa tu flyover, ndege, Stiglers, SGR na kuhamia Dodoma. Unashindwa kuelewa hivi vitu vimewasaidiaje wananchi wa kawaida? Kule kanda ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

    Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda. Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 John Magufuli, Hussein Mwinyi ndio watashinda Urais Bara na Visiwani

    Na Deogratias Mutungi Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande wa uwazi na ukweli bila kupendelea upande wowote ule kisiasa, mtu, wala chama chochote au itikadi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  18. A

    JamiiForums Tanzania God Save Magufuli

    Dear distinguished jamii forum members, local and international, greetings. "Seek and you shall find". On the very ground of the sentence, seek and you shall find, I pray to God, the almighty that he save president John Pombe Joseph Magufuli. As a concerned citizen of the United Republic of...
  19. A

    JamiiForums Tanzania God Save Magufuli

    Dear distinguished jamii forum members, local and international, greetings. "Seek and you shall find". On the very ground of the sentence, seek and you shall find, I pray to God, the almighty that he save president John Pombe Joseph Magufuli. As a concerned citizen of the United Republic of...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anatamani Ulaya ambayo haipo na haitakuja kuwepo

    Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya. 1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana. 2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge live. 3. Hakuna Ulaya ambayo imefungia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…