magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hili la Dkt. Magufuli kutumia kisukuma kwenye kampeni siafiki

    Nimemsikia mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara. Hatukuwahi kusikia Rais yoyote waliotangulia wajifanya kama anavyofanya magu. Najiuliza tu, wagombea wengine wa vyama CHADEMA, ACT Wazalendo, CUF...
  2. JamiiForums Tanzania Ona Magufuli alivyocheza ‘MAPANGA’ ya TMK

    Love him or loath him, Magu got rhythm. He can dance. Ila bado sielewi kwa nini hao walinzi wake wanavaa njano na kijani za CCM!
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maswali ya Bernard Membe kwa Mgombea Magufuli. Kusini wana jambo lao

    ..Membe ameuliza maswali mazito ambayo sidhani kama Magufuli ataweza kuyajibu.
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

    Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake. Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10 MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  5. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie

    Salaam, Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu with a failed mission to distract General Election in Tanzania

    Blessed is thyloard our CREATOR Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our fathers and grandies bitten and strangled to death with the same blood pretending to love us now...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

    Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

    Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana. Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Najiuliza, ni Mwananchi wa aina/fani gani atampa kura Magufuli mwaka huu

    Yaani nipo hapa najiuliza sipati jibu ni mwananchi wa fani/aina gani atampa kura Magufuli mwaka huu. Maana kama;- WAFANYA BIASHARA. Hawa wamenyanyaswa sana ndani ya miaka 5 hii iliyoisha, refer msoto wa Manji alioupitia toka Magufuli aingie madarakani na wafanya biashara wengine kedekede...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli, tupe Mchanganuo wa Vituo vya Afya na Barabara ulizojenga, siamini kama vipo

    Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo: 1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii 2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M 3. Barabara na urefu wake...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

    Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na kufuta ada za shule za msingi hadi kidato cha nne. Hana jipya katika sera zake. Hana mipango mipya...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

    Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dr. Magufuli leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Bahi. Watu ni wengi sana na mkutano huu utarushwa mubashara na TBC na Channel Ten. ======== 3:00 Asubuhi: Maombi ya kufungua mkutano kutoka kwa viongozi wa dini Sikutegemea kama...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni dalili za Dkt. Magufuli kushindwa kutetetea kiti chake cha Urais uchaguzi wa Oktoba, nimevunjika moyo kama mtumishi wa umma

    Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu. Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu. Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imetekeleza ilani yake kwa 31% tu, mambo mengi ni nje ya ilani. Je, Rais Magufuli alitumwa na nani?

    Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata kuanza japo kwa hatua za awali hawakufanya. Nimekua najiuliza huku kusifusifu kulikovuka mipaka...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Naona wote wanapiga tu chenga, watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije

    Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa Watuambie wananchi wa kipato cha chini wanaishije, watuambie kuhusu afya na mazingira rafiki ya kibiashara yako wapi. Si kutupa shuhuda za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…