Uchaguzi 2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.

Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020 hesabu yake imeisha tunataka mapya.

Kuna uwezekano hotuba yake ya kwanza mpaka ya mwisho ikawa ni yale yale.barabara, ndege, na madaraja
 
"Nitanunua tena ndege tano iri mubebee hata minyama na mimbogamboga yenu humo.."

"Tunatumia tiririoni sabha (7) kudjenga Stigirazi godji na ni feza zetu za ndani"

"Tunadjenga reri ya kisasa ya Standard geji kwa pesa zetu za ndani. Nchi hii ni tajiri ndugu zangu"

"Tunadjenga 'mafuraiova' Darisarama na hata hao wanaonitukana wanayatumia"

"..Mmechagua wenyewe wapinzani siwezi kureta maendereo djimbo ra upinzani. Mpaka mdjifunze"

Dakika tano baadae...

"Maendereo hayana chama djamani..msema kweri ni mpenzi Wa Mungu"

Masikio yangu yamekinai huu utumbo!
 
Yeye anaamini ana akili kuliko hata aliyemuumba , mwacheni aendelee kulikoroga
 
Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.

Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020 hesabu yake imeisha tunataka mapya.

Kuna uwezekano hotuba yake ya kwanza mpaka ya mwisho ikawa ni yale yale.barabara, ndege, na madaraja
Wewe zinakuuma nini, si uende kule yako mapya.
Kumbuka kila kitu ni endelevu
 
Isingekua wasanii kwenye kampeni zake wananchi wangekua washampiga mitama, wasanii wanafanya watu wasisikilize anachozungumza.
 
Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini

Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa
 
Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.

Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020 hesabu yake imeisha tunataka mapya.

Kuna uwezekano hotuba yake ya kwanza mpaka ya mwisho ikawa ni yale yale.barabara, ndege, na madaraja
Huna akili sawa sawa..wewe ya nyumbani kwako ulisha yamaliza? Ukiulizwa utayamalizaje hutatoa mwanga kwa wanaokuuliza ili wajue muelekeo wako?

Nyambafu kabisa
 
Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini

Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa
Chadema hawajawahi kuwajibika na kodi ya Watanzania unategemea waeleze wamefanya nini ilhali kwa kiburi tulielezwa tusipochagua CCM maendeleo hayaendi na cha kuwafanya hatuna.
 
uongo chadema kuna halmashauri wana mameya na madiwani na hukusanya kodi za halmashauri hizo
 
Magu awaombe radhi akina kinana,makamba na wenye ccm yao.ki ukweli hajui kwa Sasa aongee Nini aache kipi.wale wa zee wanazijua siasa za maji taka zinatakiwa ziendaje.
 
Back
Top Bottom