magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Simlaumu alieshindwa kusoma kiapo, Urais unatisha, Rais anatisha na Rais Magufuli anatisha zaidi

    Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji. Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na WhatsApp...

    Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali. Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana kazi ya kumtafuta Lissu wa kipindi cha Uchaguzi ili kuyaelewa haya

    Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM. Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn tumejifunza kuwa kuna mambo ambayo hayakuibuliwa ndani ya ilani ya CCM na yameibuliwa ndani ya ilani ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

    Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
  8. U

    JamiiForums Tanzania UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

    Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

    WanaJF, Salaam! Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif watuzwe udaktari wa heshima

    Wanabodi, Salaam! Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na makabila tofauti lkn bado tunatumia jukwaa hili kutoa ya akikini mwetu ili yasaidie kuijenga nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Kigoma tunakushukuru Fedha na Elimu - hatutakuangusha

    WanaKigoma, Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako. Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
  13. JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020 ======== Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
  14. JamiiForums Tanzania Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

    Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo 1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

    Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma. Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  17. L

    JamiiForums Tanzania TAZARA - Rais Magufuli tunakuomba utupie jicho uongozi hili shirika

    Mheshimiwa rais na serikali yako tunaomba uitupie macho TAZARA. Kumekua na utendaji mmbovu mnoo na kwa muda mrefu kwenye hii taasisi. Watendaji wakuu wamekua chanzo cha migogoro na mazingira magumu kwa wafanyakazi na wateja. Shirika limejaa urasimu unaoharibu utendaji bora wa watendaji wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali tafadhali rudisha Fao la Kujitoa

    Rais, najua huamini kama maisha ni magumu labda kwa sababu wewe una kila kitu, hujawahi kukosa hela ya kuilisha familia yako, mbaya zaidi wanaokuzunguka hawakuambii ukweli, pengine nao kwa sababu nao wana kila kitu kama wewe. Ukweli ni kwamba maisha ni magumu sana iwe kwa wasomi waliokosa ajira...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini

    Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali hii iliyojaa kila aina ya dhambi na kuacha kukemea mauaji, ukabila na uchama unaoshamili nchini. Nimeumia sana kuona wasomi wenye elimu ya juu ambao wamesomeshwa kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo manne aliyoyafanya Rais Magufuli katika muhula wake wa awali yaliyonifurahisha

    Kuna mambo mengi sana ya msingi ambayo sikubaliani na aina ya utawala wa rais Magufuli. Mathalani sikubalini na matendo yake ya kuminya haki za msingi za wananchi kujichagulia viongozi wao kwa ridhaa zao, kwa mfano yaliyotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 kisha yaliyofanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…