magari

  1. Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza siku tano, kuanzia Desemba 10 hadi 15, 2019 kwa wenye magari kufanya ukaguzi ili wasafiri salama kwenda mikoani kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Makonda ametangaza ukaguzi huo leo Alhamisi Desemba 5...
  2. Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine. Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
  3. Uganda na Rwanda zinaongoza Afrika Mashariki katika Teknolojia ya Magari ya Umeme

    Habari! Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu yanazuia uwekezaji katika sekta hiyo inayoibukia. Mataifa hayo mawili tayari yamezindua viwanda maalumu...
  4. Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

    Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na...
  5. S

    Adha ya usafiri wa umma jijini Dar-es-salaam:Serikali iruhusu magari aina ya Noah yatumike kubebea abiria mida ya asubhuhi na jioni

    Kutokana na kero ya usafiri katika jiji la Dar-es-Salaam kwa wanaotumia usafiri wa umma(daladala na yale mabasi ya mwendokasi),nashauri serikali ije na mkakati wa muda mfupi wa kuruhusu gari ndogo aina ya Noah zitumike kusafirisha abiri nyakati za asubuhi na jioni ili kuondoa adha ya watu kutaka...
  6. Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

    Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu. Leo wakati naelekea...
  7. C

    Wale tulikua na magari na sasa hatuna tunatumia daladala tukutane hapa

    Habari wakuu Kwa wale ambao mlikua mnamiliki vyombo vya usafiri na sasa hamna kwa namna moja au nyingine mkajikuta tu gari umeuza, imepata ajari na kuharibika kabisa hivi mnaweza vipi kuendana na hali hii ya kuanza kutumia usafiri wa daladala za hapa jijini Dar es salaam? Kiukweli hapa nipo...
  8. Magari 10 yanayonunuliwa sana na Watanzania

    Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na mipango ijayo ni muhimu kujua wenzako wengi wamepitia wapi. Watanzania wengi kwa mwaka huu...
  9. D

    Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
  10. E

    Jinsi ya kunyamazisha watu wanaokusema eti kisa ''gari lako chafu''

    Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa. Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
  11. TRA tokeni maofisini kakagueni magari, mengi Mjini hayajalipiwa na mengine yana sticker za bima fake

    Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu. Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu. Tuamke sasa kumsaidia Rais. La pili, kuna...
  12. Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
  13. T

    Ushauri wenu unahitajika.

    Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya. Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu? Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua. Land Rover RangeRover Evoque...
  14. D

    MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  15. Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  16. ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  17. Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  18. Nahitaji gari used Landcruiser

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  19. Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  20. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…