Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tano kamili (5,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Niwatakie kheri ya msimu wa sikuu za mwisho wa mwaka!!!..

Shukrani.
 
ludovick94

Member
Feb 21, 2015
24

Nitakuchek kesho mkuu.
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,279
2,000
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri.

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tano kamili (5,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Niwatakie kheri ya msimu wa sikuu za mwisho wa mwaka!!!..

Shukrani.
Millioni tano au millioni Hamsini? Imekuwa Passo?:) Injini tupu inaenda 8 million.
 
Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
Millioni tano au millioni Hamsini? Imekuwa Passo?:) Injini tupu inaenda 8 million.
Mkuu Chief.

Heshima mbele ndugu yangu.

Kuna wakati unaweza kupata Passo kwa bei hio na kuna wakati unaweza kupata Landcruiser (iliyotumika) kwa bei hiohio Mkuu, inategemea mazingira tu ndugu yangu.

Kwa sasa naendelea kusubiri muda unikanushe kuhusu haya mawazo yangu Mkuu.

Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na uingiapo 2019 ndugu yangu.

Natanguliza shukrani,

~Mawio :):)!!!..
 
Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
Haupo serious mkuu?! Engine used 1hz ni mil 9 sasa wewe unataka gari zima kwa mil 5.?!
Mkuu Mzee Kigogo!!!..

Heshima mbele ndugu yangu, there is "POSSIBLE" in "IMPOSSIBLE"!!!..

Tuendelee kuombeana uzima Kaka.

Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na uingiapo 2019.

Tuko pamoja Mkuu.

Shukrani,

~Mawio :):)!!!..
 
SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
May 27, 2014
295
500
😁😁😁😁😁Haupo serious,Used engine pekee (1hz) inaRange 8 up to 9M lakini wewe unataka gari nzima kwa 5M

Ila naamini ukiipata ya hiyo bei lazima ikutumbukize katika umasikini.
 
Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
😁😁😁😁😁Haupo serious,Used engine pekee (1hz) inaRange 8 up to 9M lakini wewe unataka gari nzima kwa 5M

Ila naamini ukiipata ya hiyo bei lazima ikutumbukize katika umasikini.
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!..

Mkuu Mathias Elias, unauogopa umasikini Mkuu?!! Mie nimetokea huko na tunavyoongea ninapamba kukabiliana nao.

Mkuu Mathias, sentensi yako imenifikirisha sana, tuombeane uzima, ninaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa ninaamini siku moja nami nitakuwa kwenye level hizo za 8 - 9 kwa sasa ngoja nikomae na hii budget yangu ya 5 Millioni kwanza, nione nini kitatokea, ninaamini nitafanikiwa Inshallah, ni suala la muda tu.

Nikutakie mwisho mwema wa mwaka 2018 na mwanzo mwema wa mwaka 2019.

Natanguliza shukrani nyingi kwa mchango wako Mkuu.

Nikutakie siku njema kwa sasa.

Shukrani,

¬Mawio :):)!!!...
 
SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
May 27, 2014
295
500
Shuk

Shukrani mkuu,nawe pia.

Ila ukikwama tafuta moja kati ya hizi 3B,13B,14B,2H,12H
Pia hayo matoleo yana turbo mfano 3B itakuwa 3BT vile vile kwa zingine.

Kifupi nazo ziko poa.
 
Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
95
Shuk
Shukrani mkuu,nawe pia.

Ila ukikwama tafuta moja kati ya hizi 3B,13B,14B,2H,12H
Pia hayo matoleo yana turbo mfano 3B itakuwa 3BT vile vile kwa zingine.

Kifupi nazo ziko poa.
Akhsante sana kwa ushauri Mkuu Mathias Elias.

Nina uhakika watu wengi watakuwa wamenufaika na ushauri wako kupitia uzi huu.

Tuko pamoja Mkuu.

Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka 2019 wenye mafanikio mengi sana upande wako.

Shukrani sana,

¬Mawio :):)!!!..
 
SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
May 27, 2014
295
500
Akhsante sana kwa ushauri Mkuu Mathias Elias.

Nina uhakika watu wengi watakuwa wamenufaika na ushauri wako kupitia uzi huu.

Tuko pamoja Mkuu.

Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka 2019 wenye mafanikio mengi sana upande wako.

Shukrani sana,

¬Mawio :):)!!!..
Amina.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom