Mawio

Member
Nov 25, 2008
54
23
Wakuu, salaam!!!..

Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.

Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790

Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania.

Kama una bodi pekee pia tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo.

Shukrani.
 
109 roho ya paka inaweza patikana kwa kiasi gani?? Sisi wenye paso daladala zinatuchuna sana kwa kuchomekewa
 
109 roho ya paka inaweza patikana kwa kiasi gani?? Sisi wenye paso daladala zinatuchuna sana kukuchomekewa

Mkuu Doup!!!..

Ngoja tuwasubiri wadau wenye 109 wata-show up na majibu Mkuu..

:):)!!!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom