BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu.
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu.
Tuamke sasa kumsaidia Rais.
La pili, kuna Stickers fake za bima ziko kila kona magari mengi hayana bima halali hili na la polisi tunaomba tuingie mtaani tukapambane kodi zilipwe.

Mkuuu kuna magari ya kulipa kodi mil kumi yamelipa mbili hao ndio tunawatafuta mkuu na soon zoezzi linaanza naamini watafanikiwa
Kuhusu bima hilo utekelezwaji umeanza. Leo na zoezi haya yote yatashirikisha takukuru na vyombo vya dola kuhusu ulaji mhusika ujipange kweli kweli..Kubeba risky......