Usinipite mwokozi
Member
- Feb 14, 2021
- 60
- 59
Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi kuachana nayo.
Huu ugonjwa unaathiri mifumo ya hewa kwa mujibu wa wataalam wetu wa wizara ya afya.
Na moja ya adui mkubwa wa mifumo ya hewa ni pamoja na viyoyozi, ndio maana waathirika wakubwa ni wazee na wagonjwa ambao tayari kinga zao zinakuwa zimeshuka.
Lakini pia, waathirika wengine wakubwa ni watumiaji wa viyoyozi kwa muda mrefu, kwa maana ya akiwa nyumbani ni viyoyozi maana nyumba ni ya vioo, akipanda gari full AC, akiwa ofisini ni full kiyoyozi. Kila sehemu ni full kiyoyozi, hii ni hatari ndg zangu.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala zaidi.
by Usinipite mwokozi.