Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

Mr Geniuz Km

Member
Aug 27, 2017
14
14
Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari.

Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi .

Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari .

Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma kwenye vyuo vinavotambulika na serikali . Hivyo, nina uwezo wa kulilinda na kulitunza Gari lako wakati wote . naahidi kufanya kazi kwa uaminifu mkubwa na kwa weledi wa kitaaluma kwakuzingatia maagizo ya kiongozi wangu wa kazi ( Tajiri yangu ).

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa Dereva
Awasiliane na Mimi kwa namba zifuatazo
+255 766 138 288 au
Kwa Email
Ketsexpert@gmail.com

NAENDESHA GARI AINA YEYOTE

NATANGULIZA SHUKRANI .
 
Kama upo Dar peleka maombi kampuni ya Specialized Hauliers wapo Buza kwa Gude.
Kama una ujuzi wa ufundi au udereva wa gari kubwa utakuwa na nafasi kubwa ya kupata kazi.
Wao Wana maroli ya Howo.
 
Sawa mkuu
Shukrani kwa taarifa ' ntafanya ivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom