magari

  1. Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

    Habari wana JF Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
  2. M

    Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  3. E

    Tunauza vituo vya kujaza gesi ya LPG kwenye magari na mitungi ya LPG ya kupikia

    Vituo vyetu vya LPG vina tenki kubwa la LPG, kitoleo cha LPG, pampu ya LPG, Kifaa cha Kugundua uvujaji na mita. Mita inafanya kazi ya kupima gesi inayojazwa kwenye mtungi au gari moja kwa moja. Bei LPG itapangwa kutokana jinsi mita ilivyosoma. Hivyo vituo vipo seti kamili. Vituo hivi vinajaza...
  4. Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

    Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi. Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March. Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa...
  5. RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

    Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii? Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama. Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya...
  6. J

    CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

    CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha. Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
  7. Doromee kilevi hatari kinachotumika kuwaibia watu magari

    Jeshi la polisi mkoani Njombe limewatahadharisha wananchi na wamiliki wa vyombo vya moto kuwa makini pindi wanapokuwa sehemu za starehe ili kuepuka kuwekewa vilevi katika vinywaji vyao na kusababisha kuibiwa magari yao, baada ya kupewa vinywaji ambavyo vinachanganywa na ugoro na Valium ambavyo...
  8. Game za magari

    Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
  9. 2

    Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
  10. Polisi endesheni magari yenu kwa kufuata Sheria za usalama barabarani, hamko juu ya Sheria

    Polisi wamekuwa wakiendesha magari yao vibaya sana bila kufuata sheria na taratibu za barabarani. Watu wengi wamegongwa na kufa, na wengine kujeruhika kutokana na uendeshaji wao mbovu. Pia uendeshaji mbovu huaribu vyombo ambavyo vimenunuliwa kwa Kodi za wananchi. Na mbaya zaidi magari yao...
  11. Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ. Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
  12. Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  13. RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao. Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
  14. Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

    Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache. Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo...
  15. G

    Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa. Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
  16. J

    Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
  17. J

    Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

    Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake. Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima. Chanzo: Upendo TV Maendeleo hayana...
  18. Kodi kubwa kwenye magari kwa kigezo cha kulinda mazingira haijaleta ufanisi wowote

    Wakati serekali ikikazana kuongeza kodi kwenye magari mtumba(used) kwa kigezo za kulinda mazingira imeonyesha kutokua na ufanisi wowote. Kodi imeongezwa ili wananchi waache kununua magari yaliyotengenezwa miaka mingi na kununua ya miaka ya karibuni ili kulinda maizingira. Je, idadi ya magari...
  19. Hongera DAR jiji kupata magari ya kuzoa taka; bado magari ya kufagia barabara sasa

    Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi. Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
  20. Vituo zaidi vyazinduliwa vya kutia chaji magari yanayotumia umeme

    Vitakua kote nchini.... The Kenya Power company, popularly known by its NSE ticker KPLC, has opened three charging stations in Nairobi and will be setting on a nationwide project installing other charging points along major highways, parking lots and malls. The three charging stations in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…