Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Wanaofahamu sheria naomba watusaidie...

Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa?

Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka mjini Morogoro zilifungwa kwa masaa matatu kupisha msafara wa Chongolo. Jioni pia zikafungwa kwa masaa mawili...

Naomba kuuliza wanaojua sheria... Je, katibu mkuu wa chama (tawala) ni miongoni mwa viongozi walioanishwa kisheria kwamba msafara wao ukipita inabidi watumiaji wengine wa barabara wasubirishwe?
 
Ujinga wetu ndio umepelekea mambo ya Kipumbavu kama haya. Unasimamisha Magari 3hrs kisa Chongolo apite!!!!
 
Sidhani kama anastahili..yeyesio kiongozi wa kitaifa ni wa chama, maana yake wafuasi wa vyama vingine hawahusu .

Hao wengine kama waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa anastahili ingawa anatoka chama ambacho chongolo ni katibu mkuu.
Uelewa wangu umeishia hapo ngoja wengine waongezee

But 3hrs ? Kmmk..
 
Wanaofahamu sheria naomba watusaidie...

Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa?

Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka mjini Morogoro zilifungwa kwa masaa matatu kupisha msafara wa Chongolo. Jioni pia zikafungwa kwa masaa mawili...

Naomba kuuliza wanaojua sheria... Je, katibu mkuu wa chama (tawala) ni miongoni mwa viongozi walioanishwa kisheria kwamba msafara wao ukipita inabidi watumiaji wengine wa barabara wasubirishwe?
Karibu mkuu ndiyo nini. we inapnekana ni mzushi, mmbea na mwongo.
 
Sidhani kama anastahili..yeyesio kiongozi wa kitaifa ni wa chama, maana yake wafuasi wa vyama vingine hawahusu .

Hao wengine kama waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa anastahili ingawa anatoka chama ambacho chongolo ni katibu mkuu.
Uelewa wangu umeishia hapo ngoja wengine waongezee

But 3hrs ? Kmmk..
Wanasema wanaenda mikoani kutatua kero za wananchi, kumbe wanaenda kuongeza kero nyingine ya foleni,

Viongozi wa sasa wanainua sana mabega, katibu mkuu wa CCM kipindi cha Mzee Kolimba, Mzee Mukama, na Makamba Jr huu upuuzi haukuwepo,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Jana wamesababisha ajali hapa mjini. Mjinga mmoja alimpelekea mtu wa bajaji kisa msafara wa katibu wa chama. Hapa chama cha mapinduzi kijiangalie . Ni uonevu makubwa Sana wanaufanya kwa watu.
 
Sidhani kama anastahili..yeyesio kiongozi wa kitaifa ni wa chama, maana yake wafuasi wa vyama vingine hawahusu .

Hao wengine kama waziri mkuu ni kiongozi wa kitaifa anastahili ingawa anatoka chama ambacho chongolo ni katibu mkuu.
Uelewa wangu umeishia hapo ngoja wengine waongezee

But 3hrs ? Kmmk..
Taifa linaongozwa na chama gani?
 
Hata km angekuwa PM bado siyo busara kusimamisha magari masaa 2. Hii nchi taratibu inajiresha kwenye u mangi mtu. Ukizuia barabara ni kusimamisha uchumi kwa mda huo kwan hapo kuna watu wanawahi hosptalin,kwenye masoko n.k
Siyo sawa kabisa!
 
Back
Top Bottom