Wafungaji wa mfumo wa gas fuel kwenye magari ya diesel na petrol

Mjuzi Wenu

Senior Member
Nov 18, 2017
108
100
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol

Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%

Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-6 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha

Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY

SIMU; 0692235221

KARIBU
 
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol

Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%

Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-4 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha

1. Gharama za kufunga mfumo wa gas kwa gari aina ya Toyota Harrier (model ya kati/chogo) shilingi ngapi?

2. Mfumo huo unafanyiwa service kila baada ya muda/kilomita ngapi?
 
Gharama za kufunga mfumo huo pekee, kwa wale wenye IST na safari za 20km kwa siku, siku zote za kazi kwa mwaka, itakuwa ni sawa na gharama ya Petrol ya mwaka mzima!

Service na kujaza gas, inakuwa juu ya hapo sio? Kwahiyo, hamna hamna, faida utaanza kuiona mwaka wa pili wa matumizi?
 
1. Gharama za kufunga mfumo wa gas kwa gari aina ya Toyota Harrier (model ya kati/chogo) shilingi ngapi?

2. Mfumo huo unafanyiwa service kila baada ya muda/kilomita ngapi?
gharama inategemeana na aina ya gari pia ukubwa wa mtungi kulingana na mahitaji ya mteja husika ila kwa upande wa harrier ghalama zake zinaanzia 2.5M
yaani vifaa ni 2M na ufundi ni Laki tano

pia mfumo wa gesi yaan CNG ni fuel safi compared to Diesel and petrol ila tunajua kuwa upande wa petrol na diesel unashauliwa kufanya service kuanzia 3000-5000Km ila katika mfumo wa gesi unaanzia 9000Km

1kg ya gesi inaweza kutembea hadi 20Km. 🙏
 
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol

Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%

Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-4 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha

Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY

SIMU; 0692235221

KARIBU
Nafuu kiasi gani?
Wekeni bei hapa
 
Gharama za kufunga mfumo huo pekee, kwa wale wenye IST na safari za 20km kwa siku, siku zote za kazi kwa mwaka, itakuwa ni sawa na gharama ya Petrol ya mwaka mzima!

Service na kujaza gas, inakuwa juu ya hapo sio? Kwahiyo, hamna hamna, faida utaanza kuiona mwaka wa pili wa matumizi
 
gharama inategemeana na aina ya gari pia ukubwa wa mtungi kulingana na mahitaji ya mteja husika ila kwa upande wa harrier ghalama zake zinaanzia 2.5M
yaani vifaa ni 2M na ufundi ni Laki tano

pia mfumo wa gesi yaan CNG ni fuel safi compared to Diesel and petrol ila tunajua kuwa upande wa petrol na diesel unashauliwa kufanya service kuanzia 3000-5000Km ila katika mfumo wa gesi unaanzia 9000Km

1kg ya gesi inaweza kutembea hadi 20Km. 🙏
Nina coaster ya diesel, nipe mahesabu
 
Nafuu kiasi gani?
Wekeni bei ha
Nafuu kiasi gani?
Wekeni bei hapa
bei hazilingani kwa mfano hapo juu gari ya harrier nimemuekea bei ila wew ujaweka aina ya gari ila unataka bei

hii mifumo unadesign si kwamba kila kifaa kitafit katika kila aina ya gari ni lazima ukae chini na ufanye calculation as automobile engineer kujuwa kifaa kipi kitafit katika gari husika na mwisho unaingiza data kwenye computer kuona kama ratio imekaa sawa ( air fuel ratio)
 
Ungeweka mifano hata ya gari 3 hivi.
1. Ist
2. Subaru/carina
3. Harrier..tayari
4. Prado
5. Nissan patrol...eg..magari ya kale hivi
 
2.5 mbona nyingi sana? Yani masaa matatu tu unachukua 2.5 kweli! Hivi mnafikiri hela za kuokota tu
Ghalam kubwa ipo kwenye vifaa kiujumla serikali wanasem vifaa vyake havina msamaa wa kodi na ndio maana bei ya vifaa ipo juu sana ila kiukwel serikali hawataki watu wengi watumie mfumo wa gesi na ndio maana ukiambiwa bei ya vifaa unawez ukaacha kabisa

pia sisi tupo chini ya chuo cha NIT na si kwamba kila kazi inayo fanywa kwa wakati mchache ni kazi ndogo hapana, tunafanya kazi kwa ushirikiano wa hali ya juu ili mteja wetu apate kuendelea na shughuli zake za kiuchumi 🙏
 
Ungeweka mifano hata ya gari 3 hivi.
1. Ist
2. Subaru/carina
3. Harrier..tayari
4. Prado
5. Nissan patrol...eg..magari ya kale hivi
bei za jumla yaan vifaa n ufungaji kulingan na aina ya gari
IST-2.3M
Carina-2.3M
Harrier-2.5M
Prado-3.5M
Nissan patrol-3.5M

Karibu tukuhudumie 0692235221 🙏
 
Back
Top Bottom