mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Fahamu zaidi kuhusu mafuta ya ndege

    NDEGE HUTUMIA MAFUTA GANI? Aviation Fuel ni mafuta yanayotumiwa kwa kuendeshea injini za ndege. Kimsingi zipo kama aina nne za mafuta zinazotumika katika usafiri wa anga. 1> Jet A-1 ambayo ambayo kwa uhalisia ni mafuta ya taa 2> Jet B, Mchanganyiko wa mafuta ya taa na petroli 3> Avgas ambayo...
  2. 5

    China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

    Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa? Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
  3. Kenya: Mafuta yatarajiwa kupanda bei kutokana na Muswada Mpya wa Fedha

    Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni. Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa Kitaifa inataka kubadilisha uamuzi uliofanywa mwaka wa 2018, ambapo VAT kwa mafuta ilipunguzwa hadi 8%...
  4. Natafuta mafuta ya samaki au Pamba

    Habari Wapendwa, Natafuta chimbo la mafuta ya samaki au mafuta ya pamba anajua tafadhari nijuze.
  5. Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  6. Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  7. Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

    Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu. Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje. Ama ukiona hili...
  8. Ni kweli kwamba Mafuta yamepatikana ziwa Eyasi?

    Juzi nilisikia habari kwa TV kuwa wamefanikiwa kupata mafuto kwenye ziwa Eyasi. Imesemwa utafiti ulianza tokea mwaka 2017. Hizi habari zina uhalisia wowote? Wamepata mafuta kiasi gani?
  9. M

    Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  10. F

    Maaskofu Katoliki acheni kuunga mkono bomba la mafuta. Nchi za zilizoendelea zinaondokana na matumizi ya mafuta sisi ndio tunataka kuanza kuyachimba!

    Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa. Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate...
  11. S

    Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  12. Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  13. Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  14. Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  15. Faida za Omega 3 Fat Acid mwilini

    ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake. Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3) 1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU. 👉Mafuta ya samaki yenye...
  16. Mafuta yameshuka bei, EWURA yatangaza bei mpya za April 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi April huku zitakazoanza kutumika Jumatano tarehe 05/04/2023. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mafuta ya Petroli yameshuka bei kwa Tsh 187/Ltr, Dizeli Tsh 284/Ltr na mafuta ya taa 169/Ltr kwa mafuta...
  17. Kwanini sisi tusiwaombe hawa jamaa zetu waturuhusu kununua ya mafuta ya bei nafuu?

    Japan waliruhusiwa na G7 kununua haya mafuta yaliyowekewa international sanction ya bei nafuu. Kwa nini na sisi tusiwaombe hawa rafiki zetu waturuhusu na sisi kuyanunua haya mafuta ili kunusuru uchumi wetu?
  18. Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
  19. Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  20. Mbeya: Wakamatwa wakisafirisha shehena ya vipodozi vyenye viambata sumu kwenye tanker la mafuta

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…